Niliyojiapiza kutoyafanya ukubwani yote yamenishinda. Hadi sasa nimeyafanya yote kasoro moja tu

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,395
Ndugu zangu!

Mwenzenu nilipokuwa kijana niliapa katu katu sitokuja kujaribu kufanya mambo haya matano!

  1. Niliapa kutozaa watoto nje ya ndoa.... lakini hadi muda huu Leo nina watoto watatu nje ya ndoa inaniuma sana lakini basi tu
  2. Niliapa sitokuja kutembea na mke wa MTU katukatu...Daah kusema ukweli hilo nalo nimepitiwa nimewalaaa sana utafikili wametumwa kunijaribu
  3. Kufanya mapenzi kwenye gari; Yaani nilikuwa nawashangaa sana wanaofanya kwenye gari, lakini siku nilionja nikazoea kwanza hata guest nikaanza kuona ni hasara
  4. Kwenda kwa mganga; Niliapa sitakanyaga kwa mganga, Baada misukosuko ya kikazi nilimtafta mganga mwenyewe bila shurti
  5. Nililofanikiwa hadi sasa nikotokula T-GO ya mtu; Kusema ukweli hili nimeshinda kwa kiasi kikubwa Alhamdulillah ingawa Kuna pisi mmoja namkwepa kila siku ananishawishi nikamzindue coz naye hajawahi Ila anatamani aanze!.....hakika naogopa Sana thus najitahid kumkwepa!
Nilichojifunza Usijiapize kitofanya kitu bila kuwa na ufaham wa namna ya kuepukana nacho.

Vipi; Nyie wenzangu mlitumia njia gani kujizuia msiyafanye mlojipangia?

TUJUZANE TAFADHALI
 
Back
Top Bottom