Niliyojiapiza kutoyafanya ukubwani yote yamenishinda. Hadi sasa nimeyafanya yote kasoro moja tu

Niliapa mengi Ila mengi makubwa nimefanikiwa.

1. Kutokunywa pombe ya aina yoyote japo marafiki zangu woote ni wanywaji wazuri tu.
2. Kutokumpa mimba mwanamke mpaka pale ntakapoishi nae kabisa kama mke wangu na mpaka sasa sina hata wa kusingiziwa.
3. Kutokula tigo, hii pia siwezi na sijawahi.
4. Kutokuvuta sigara na bangi.

I'm 27 yrs old na public servant napambana
 
Back
Top Bottom