Niliwekewa chura kwenye papuchi il niache kukojoa

Aiseee,,adhabu nyingine bwana! a.rahabu tungekuwa kulee ile nchi nyingine ningekujibu!
 
Last edited by a moderator:
Mnaleta utani lakini wengi wenu mlikojoa hadi sekondari tulikuwa na vikojozi. Wengine hadi ukubwani wanakojoa. Mshukuru Mungu kama uliacha kukojoa kitandani mapema. Mbaya zaidi watoto wenu wa pampas hamuwapi nafasi ya kuwatenga ili wajifunze kukojoa. Matokeo yake nasikia shule za bweni siku hizi moja ya requirements ni mpira wa mkojo. Hivyo jadilini hili critically maana linawahusu ambao hamjawa na familia.
 
Nilikuwa nalala na baba siku hiyo nilikojoa nikatandikwa huku nikijitetea mkojo uliruka na ndio ukawa mwisho wa kukojoa kitandani!
 
Back
Top Bottom