Uchaguzi 2020 Niliwashangaa sana waliokuwa Wakimkataa na hadi Kumchukia Chaguo la Mungu na la Wazanzibari Dkt. Hussein Mwinyi

Husilazimishe watu kuamini kuwa mwnyi ni chaguo la Mungu. Hata kama ni chaguo la Mungu, kwa kuchaguliwa kuliko fanyika hakuwa chaguo la Mungu bali chaguo la watanzana bara.

Mwinyi ndo anaandaliwa kuja kuwa raisi wa bara baada ya miaka 10 Zanzibar.
Thus Mzee Ruksa anapalilia tu
 
Umeuelewa Uzi lakini? Kuna mahala popote umeona nimeandika kuwa Magufuli ni Mungu? Kuna Watu huwa mnanitafuta Wenyewe ili tu Mnilaumu.
Dr Mwinyi ni Chaguo la Jiwe
Heading yako inasema Dr Mwinyi ni Chaguo la Mungu.
Apply logic acha kuwa Popoma Mkuu
 
Ningewashangaa kweli kweli wale ambao walipewa Dhamana ya Kumchagua na Kumpitisha Mrithi wa Rais wa Zanzibar Dkt. Shein kama wangefanya Kosa kubwa na la Kiufundi kabisa la Kutomchagua Mtu ambaye GENTAMYCINE nadhani si tu kwamba anafaa kuwa Rais wa huko Kisiwani Zanzibar bali naona kabisa kuwa anafaa hata kuja kuwa Mrithi wa Rais Dkt. Magufuli mwaka 2025.

Nina uhakika hata akina Seif Shariff wa ACT na Dkt. Hamad Rashid wa ADC nao pia sasa wanajua kuwa Kazi Pevu tu wanayo hapo kwa Mwinyi.
Zanzibar 2020 - Hussein Mwinyi, ilikuwaje ukawa Mbunge wa Mkuranga, mkoa wa Pwani, na sasa unaenda kugombea urais Zanzibar?
Ingekuwa mwingine tungeambiwa "uroho wa madaraka... nk."
 
Ningewashangaa kweli kweli wale ambao walipewa Dhamana ya Kumchagua na Kumpitisha Mrithi wa Rais wa Zanzibar Dkt. Shein kama wangefanya Kosa kubwa na la Kiufundi kabisa la Kutomchagua Mtu ambaye GENTAMYCINE nadhani si tu kwamba anafaa kuwa Rais wa huko Kisiwani Zanzibar bali naona kabisa kuwa anafaa hata kuja kuwa Mrithi wa Rais Dkt. Magufuli mwaka 2025.

Nina uhakika hata akina Seif Shariff wa ACT na Dkt. Hamad Rashid wa ADC nao pia sasa wanajua kuwa Kazi Pevu tu wanayo hapo kwa Mwinyi.
Kama Dkt Hussein Mwinyi ni chaguo la Mungu basi hakuna haja ya kupiga kura.
Kura za nini sasa ilhali alishachaguliwa!!!
 
Back
Top Bottom