Niliwaonya mnao-underestimate uwezo wa Rais Samia hamkusikia, sasa wacha dozi iwaingie mafisadi wa awamu ya 5

Rais Samia kula nao sahani moja
Ati wanazarau, ati wanakuona mpole, ati wanataka kukupangia cha kufanya ata wanakublack mail.

Rais Samia usiwaache wizi wa awamu ya tano lazima uwekwe hadharani na wafikishwe mahakama ya mafisadi na uhujumu uchumi.

Rais Samia usiwaache zile billion 180 za hazina, zile billion 90 za CCM, yale mabilio ya bandari, tanesco, zile billion 90 za chama na hazijulikani zilipo, zile tenda hewa. RAIS SAMIA tunataka waziteme

Tunasimama na Rais Samia
Rais Samia
#Kazi Iendelee
Kumbe na awamu ya tano kulikuwa na mafisadi
 
Back
Top Bottom