Niliwaonya mnao-underestimate uwezo wa Rais Samia hamkusikia, sasa wacha dozi iwaingie mafisadi wa awamu ya 5

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,863
3,190
Rais Samia kula nao sahani moja.

Ati wanazarau, ati wanakuona mpole, ati wanataka kukupangia cha kufanya ata wanakublack mail.

Rais Samia usiwaache wizi wa awamu ya tano lazima uwekwe hadharani na wafikishwe mahakama ya mafisadi na uhujumu uchumi.

Rais Samia usiwaache zile billion 180 za hazina, zile billion 90 za CCM, yale mabilio ya bandari, tanesco, zile billion 90 za chama na hazijulikani zilipo, zile tenda hewa. RAIS SAMIA tunataka waziteme.

Tunasimama na Rais Samia
Rais Samia
#Kazi Iendelee
 
Nyie bwana, tunajua uhakika TU najua mnatumia NGUVU kubwaaa kujaribu kupoteza Legacy ya Chuma.

Kuna ufisadi uliowah Fanya hapa Nchini, kushinda awamu ya Mzee JK????

alafu sihuko mtaani?? Watu wanamzungumziaje Mama ??.

KWA UFUPI, NI KATIBA LETU BOVU TU, SSH HAFAI KUA RAIS WA JMT.
Trillion 1.5 iko wap
 
Uzuri wa Rais Samia hakurupuki, ni rais anayefanya uchunguzi kabla ya kuchukua hatua.
 
Rais Samia kula nao sahani moja
Ati wanazarau, ati wanakuona mpole, ati wanataka kukupangia cha kufanya ata wanakublack mail.

Rais Samia usiwaache wizi wa awamu ya tano lazima uwekwe hadharani na wafikishwe mahakama ya mafisadi na uhujumu uchumi.

Rais Samia usiwaache zile billion 180 za hazina, zile billion 90 za CCM, yale mabilio ya bandari, tanesco, zile billion 90 za chama na hazijulikani zilipo, zile tenda hewa. RAIS SAMIA tunataka waziteme

Tunasimama na Rais Samia
Rais Samia
#Kazi Iendelee
Amesha chelewa sana.. Alitakiwa awe amewaondoa tangu alipo apa.
 
Rais Samia kula nao sahani moja
Ati wanazarau, ati wanakuona mpole, ati wanataka kukupangia cha kufanya ata wanakublack mail.

Rais Samia usiwaache wizi wa awamu ya tano lazima uwekwe hadharani na wafikishwe mahakama ya mafisadi na uhujumu uchumi.

Rais Samia usiwaache zile billion 180 za hazina, zile billion 90 za CCM, yale mabilio ya bandari, tanesco, zile billion 90 za chama na hazijulikani zilipo, zile tenda hewa. RAIS SAMIA tunataka waziteme

Tunasimama na Rais Samia
Rais Samia
#Kazi Iendelee
Kuna ile Trillion 1.5 aliyoiba fisadi Magu
 
Nyie bwana, tunajua uhakika TU najua mnatumia NGUVU kubwaaa kujaribu kupoteza Legacy ya Chuma.

Kuna ufisadi uliowah Fanya hapa Nchini, kushinda awamu ya Mzee JK????

alafu sihuko mtaani?? Watu wanamzungumziaje Mama ??.

KWA UFUPI, NI KATIBA LETU BOVU TU, SSH HAFAI KUA RAIS WA JMT.
Ufisadi mkubwa ulikuwa awamu ya 5 kutokana na propaganda za uzalendo tu ndio zilimbeba sikiliza mambo aliyoyasema SSH ,Pia ni kikundi Cha watu wachache ndio walipiga pesa
 
Tena naamini akaamua kukagua zaidi madudu mengi yataonekana
 
Humphrey asibaki salama, mgao aliokuwa anapata kwenye magenge ya uhalifu wa Sabaya na Bashite unafikia ukingoni sasa, kila siku kelele kumbe anamtetea Sabaya aliyekuwa anamletea wanawake kutoka arusha, fedha za uhalifu, ameiba sana fedha za CCM
 
Rais Samia kula nao sahani moja
Ati wanazarau, ati wanakuona mpole, ati wanataka kukupangia cha kufanya ata wanakublack mail.

Rais Samia usiwaache wizi wa awamu ya tano lazima uwekwe hadharani na wafikishwe mahakama ya mafisadi na uhujumu uchumi.

Rais Samia usiwaache zile billion 180 za hazina, zile billion 90 za CCM, yale mabilio ya bandari, tanesco, zile billion 90 za chama na hazijulikani zilipo, zile tenda hewa. RAIS SAMIA tunataka waziteme

Tunasimama na Rais Samia
Rais Samia
#Kazi Iendelee
Sasa mbona analia lia tu wakati naye alikuwa kwenye hiyo awamu ya tano? CCM ni ile ile ukoo wa panya wote wapigaji tu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom