Niliwamisi wana jf, ni yapi yame-trend ndani ya siku hizi?

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
10,708
12,789
Habari wana jf.....
Toka juzi sijaingia jf. Nii nyuzi zipi ambazo zimetrend sana ndani xa hizi siku mbili kuanzia jumapili mpaka leo maana niliacha ule uzi wa Dada Jane ukiwa unakimbia balaa
Naomba mquote hizo nyuzi hapa ili niweze kupitia mmoja baada ya mwingine.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom