Niliwalaumu Uhamiaji bila sababu kuhusu utoaji Pasi za Kusafiria kutotegemea taarifa za NIDA. Aliyevuruga mfumo yupo, 20% wenye ID si watanzania

Leo nikiwa hapa Russia nimepata kuongea na Afisa uhamiaji ambaye amesema taarifa anazotoa ni nyeti na wala serikali isingependa zijulikane kwa raia wake maana zitaonesha Udhaifu wake.

Tumejadili yafuatayo:

1. Kwanini ukienda Uhamiaji unaombwa Birth Certificate wakati umeshai submit kwenye NIDA application ya ID?

Kanipa maelezo ambayo nimeridhika

Maelezo yake:

"Kazi inayofanywa na NIDA kimsingi ilipaswa kufanywa na uhamiaji Tanzania, maana watu wengi sasa wana national ID ambao kiukweli si watanzania, pia ndio maana hatuziamini sana Taarifa za NIDA ndo maana tunajiridhisha, kimsing suala hili limefanywa kisiasa"

Akaendelea...

"Siku hizi ukienda kufungua akaunt NMB hakuna haja tena ya kubeba makaratasi ya Serikali za Mitaa wala vitambulisho, cha msingi ni NIN yaani ID number ambayo wanaweka kwenye Portal inayowalink na NIDA kupata taarifa zako, lakini hiyo inakuwa haina madhara sana kwa NMB, kuliko sisi kutumia Portal hiyo tutawapa wasiopaswa pass, inabidi zoezi hili la NIDA lifanywe na Uhamiaji"

Akamalizia kwamba:

"Hata serikali ukiwauliza watakupa sababu zisizo za msingi juu ya hili, lakini ukweli ni kwamba hatuziamini sana taarifa za NIDA maana wakimbizi wengi wanazo hizo ID"
Uhamiaji na NIDA zote ni taasisi za serikali...

Sasa taasisi moja inapodai haiamini taarifa za taasisi nyingine hapo ndipo unaona jinsi gani serikali hii ilivyo disorganised na ya hovyo!
 
Wote serikali.moja halafu hawaaminiani.Very interesting.NIDA Ofisi ya Serikali ,Uhamiaji Ofisi ya Serikali.Wote wanatoa document za Serikali halafu hawaaminiani!!!!!
Nimekutana na Waarabu na Wahindi zaidi ya 10 wana NIN, Mara ya kwanza kukutana nao walikua hawana Nida ID's, wana Passport za nchi zao tu, coz shughul ilonipeleka pale ilihitaji Nida Id's tu, Ndani ya wiki3 nikaambiwa tayar wana NIN, so nikamalizie kazi, na kweli wote nilikuta wana NIN.
Sasa wewe wa Nanjilinji kupata hiyo NIN, Utasugua gaga mpka ukome
 
Leo nikiwa hapa Russia nimepata kuongea na Afisa uhamiaji ambaye amesema taarifa anazotoa ni nyeti na wala serikali isingependa zijulikane kwa raia wake maana zitaonesha Udhaifu wake.

Tumejadili yafuatayo:

1. Kwanini ukienda Uhamiaji unaombwa Birth Certificate wakati umeshai submit kwenye NIDA application ya ID?

Kanipa maelezo ambayo nimeridhika

Maelezo yake:

"Kazi inayofanywa na NIDA kimsingi ilipaswa kufanywa na uhamiaji Tanzania, maana watu wengi sasa wana national ID ambao kiukweli si watanzania, pia ndio maana hatuziamini sana Taarifa za NIDA ndo maana tunajiridhisha, kimsing suala hili limefanywa kisiasa"

Akaendelea...

"Siku hizi ukienda kufungua akaunt NMB hakuna haja tena ya kubeba makaratasi ya Serikali za Mitaa wala vitambulisho, cha msingi ni NIN yaani ID number ambayo wanaweka kwenye Portal inayowalink na NIDA kupata taarifa zako, lakini hiyo inakuwa haina madhara sana kwa NMB, kuliko sisi kutumia Portal hiyo tutawapa wasiopaswa pass, inabidi zoezi hili la NIDA lifanywe na Uhamiaji"

Akamalizia kwamba:

"Hata serikali ukiwauliza watakupa sababu zisizo za msingi juu ya hili, lakini ukweli ni kwamba hatuziamini sana taarifa za NIDA maana wakimbizi wengi wanazo hizo ID"
Sasa NIDA si iwe idara chini ya uhamiaji? Tatizo nini?
 
Mkuu be informed kuwa ili upate NIDA kwasasa nijuavyo lazima ufanyiwe usahili face to face na UHAMIAJI.
 
Uhamiaji na NIDA zote ni taasisi za serikali...

Sasa taasisi moja inapodai haiamini taarifa za taasisi nyingine hapo ndipo unaona jinsi gani serikali hii ilivyo disorganised na ya hovyo!
Uko sahihi
 
Ni duplication ya kazi nadhani kila mtu anajitahidi kulinda ajira yake aonekane Yuko busy kulinda ajira yake.Serikali iondoe duplication of works kwenye idara zake kwa kujenga kuaminiana Kati ya idara na idara kupunguza ukiritimba,duplication of works na kupunguza matumizi .So much duplication!!!!
 
Mkuu be informed kuwa ili upate NIDA kwasasa nijuavyo lazima ufanyiwe usahili face to face na UHAMIAJI.
Not true we unasema utaratibu uliowekwa mi aikuhojiwa na Uhamiaji ungejua, pia the one who infomerd me is An Immigration officer (Mwenye Nyota mbili)
 
Siku hizi ukienda kufungua akaunt NMB hakuna haja tena ya kubeba makaratasi ya Serikali za Mitaa wala vitambulisho, cha msingi ni NIN yaani ID number ambayo wanaweka kwenye Portal inayowalink na NIDA kupata taarifa zako
nilienda kufungua account nmb nikajaza form wakasema niwape kitambulisho cha taifa nikashangaa mbona hawahitaji barua ya serikali za mitaa badala yake wanaomba ID kumbe!!!!
 
Nashangaa kitambulisho cha NIDA kina expire date nikashangaa Sana
Hakuna kitambulisho kisichoisha muda wake, sababu ni kuwa baada ya muda kuna wengine hufariki, kuolewa (na kuchukua jina la mume) na wengine majina yao yanaongeza prefix/suffix (Dr, Prof, MD, PhD n.k)
 
Mbona hata Uhamiaji wanatoa passport kwa wasio raia wengi tu, hakuna taasis ya Tz isiyodanganyika, huyo afisa wa Uhamiaji asiji mwambafy.
Uko sahihi nami nimeshuhudia wanyarwanda wawili mademu ninaowafahamu kwa undani wote wana passport za Tanzania na za Rwanda pia. Kwa Sasa wote wamesafiri nje ya nchi kwa kutumia passport za Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Not true we unasema utaratibu uliowekwa mi aikuhojiwa na Uhamiaji ungejua, pia the one who infomerd me is An Immigration officer (Mwenye Nyota mbili)

Okay!
Mimi huku kwetu ili urudishe fomu NIDA laima usahilkiwe na MIGRATION.
ila lililopo wazi ni kuwa RUSHWA ipo huko NIDA.
Yeyote wakati wowote anaweza pata kitambulisho.
 
Mimi hawa jamaa wananikera kitu kimoja. Unaweza kukuta mzazi amefariki miaka zaidi ya kumi au pengine hata kumjua humjui. Wanakwambia lete cheti cha kuzaliwa mzazi. Kama wao wanaona ni muhimu kuwa na hizo details, kwa nini wasitunze taarifa zote kisasa kusiwe na usumbufu wa namna hiyo. Ukiandika jina la mtu taarifa zake na nyaraka muhimu zionekane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anayeuza Birth certificate kwa watu ambao sio wazawa anatakiwa kufungwa maisha maana madhara yake ni zaidi ya bomu la nyuklia la hiroshima......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nikiwa hapa Russia nimepata kuongea na Afisa uhamiaji ambaye amesema taarifa anazotoa ni nyeti na wala serikali isingependa zijulikane kwa raia wake maana zitaonesha Udhaifu wake.

Tumejadili yafuatayo:

1. Kwanini ukienda Uhamiaji unaombwa Birth Certificate wakati umeshai submit kwenye NIDA application ya ID?

Kanipa maelezo ambayo nimeridhika

Maelezo yake:

"Kazi inayofanywa na NIDA kimsingi ilipaswa kufanywa na uhamiaji Tanzania, maana watu wengi sasa wana national ID ambao kiukweli si watanzania, pia ndio maana hatuziamini sana Taarifa za NIDA ndo maana tunajiridhisha, kimsing suala hili limefanywa kisiasa"

Akaendelea...

"Siku hizi ukienda kufungua akaunt NMB hakuna haja tena ya kubeba makaratasi ya Serikali za Mitaa wala vitambulisho, cha msingi ni NIN yaani ID number ambayo wanaweka kwenye Portal inayowalink na NIDA kupata taarifa zako, lakini hiyo inakuwa haina madhara sana kwa NMB, kuliko sisi kutumia Portal hiyo tutawapa wasiopaswa pass, inabidi zoezi hili la NIDA lifanywe na Uhamiaji"

Akamalizia kwamba:

"Hata serikali ukiwauliza watakupa sababu zisizo za msingi juu ya hili, lakini ukweli ni kwamba hatuziamini sana taarifa za NIDA maana wakimbizi wengi wanazo hizo ID"
Kwani sheria inakataza wageni kuwa na NIDA?
 
Back
Top Bottom