britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
- Thread starter
- #61
Tuanze mchaka mchaka upyaUnaweza ukarudi kurenew ukajikuta sifa za utanzania zimepungua..

Tuanze mchaka mchaka upya
Uhamiaji na NIDA zote ni taasisi za serikali...Leo nikiwa hapa Russia nimepata kuongea na Afisa uhamiaji ambaye amesema taarifa anazotoa ni nyeti na wala serikali isingependa zijulikane kwa raia wake maana zitaonesha Udhaifu wake.
Tumejadili yafuatayo:
1. Kwanini ukienda Uhamiaji unaombwa Birth Certificate wakati umeshai submit kwenye NIDA application ya ID?
Kanipa maelezo ambayo nimeridhika
Maelezo yake:
"Kazi inayofanywa na NIDA kimsingi ilipaswa kufanywa na uhamiaji Tanzania, maana watu wengi sasa wana national ID ambao kiukweli si watanzania, pia ndio maana hatuziamini sana Taarifa za NIDA ndo maana tunajiridhisha, kimsing suala hili limefanywa kisiasa"
Akaendelea...
"Siku hizi ukienda kufungua akaunt NMB hakuna haja tena ya kubeba makaratasi ya Serikali za Mitaa wala vitambulisho, cha msingi ni NIN yaani ID number ambayo wanaweka kwenye Portal inayowalink na NIDA kupata taarifa zako, lakini hiyo inakuwa haina madhara sana kwa NMB, kuliko sisi kutumia Portal hiyo tutawapa wasiopaswa pass, inabidi zoezi hili la NIDA lifanywe na Uhamiaji"
Akamalizia kwamba:
"Hata serikali ukiwauliza watakupa sababu zisizo za msingi juu ya hili, lakini ukweli ni kwamba hatuziamini sana taarifa za NIDA maana wakimbizi wengi wanazo hizo ID"
Nimekutana na Waarabu na Wahindi zaidi ya 10 wana NIN, Mara ya kwanza kukutana nao walikua hawana Nida ID's, wana Passport za nchi zao tu, coz shughul ilonipeleka pale ilihitaji Nida Id's tu, Ndani ya wiki3 nikaambiwa tayar wana NIN, so nikamalizie kazi, na kweli wote nilikuta wana NIN.Wote serikali.moja halafu hawaaminiani.Very interesting.NIDA Ofisi ya Serikali ,Uhamiaji Ofisi ya Serikali.Wote wanatoa document za Serikali halafu hawaaminiani!!!!!
Sasa NIDA si iwe idara chini ya uhamiaji? Tatizo nini?Leo nikiwa hapa Russia nimepata kuongea na Afisa uhamiaji ambaye amesema taarifa anazotoa ni nyeti na wala serikali isingependa zijulikane kwa raia wake maana zitaonesha Udhaifu wake.
Tumejadili yafuatayo:
1. Kwanini ukienda Uhamiaji unaombwa Birth Certificate wakati umeshai submit kwenye NIDA application ya ID?
Kanipa maelezo ambayo nimeridhika
Maelezo yake:
"Kazi inayofanywa na NIDA kimsingi ilipaswa kufanywa na uhamiaji Tanzania, maana watu wengi sasa wana national ID ambao kiukweli si watanzania, pia ndio maana hatuziamini sana Taarifa za NIDA ndo maana tunajiridhisha, kimsing suala hili limefanywa kisiasa"
Akaendelea...
"Siku hizi ukienda kufungua akaunt NMB hakuna haja tena ya kubeba makaratasi ya Serikali za Mitaa wala vitambulisho, cha msingi ni NIN yaani ID number ambayo wanaweka kwenye Portal inayowalink na NIDA kupata taarifa zako, lakini hiyo inakuwa haina madhara sana kwa NMB, kuliko sisi kutumia Portal hiyo tutawapa wasiopaswa pass, inabidi zoezi hili la NIDA lifanywe na Uhamiaji"
Akamalizia kwamba:
"Hata serikali ukiwauliza watakupa sababu zisizo za msingi juu ya hili, lakini ukweli ni kwamba hatuziamini sana taarifa za NIDA maana wakimbizi wengi wanazo hizo ID"
Leo nikiwa hapa Russia nimepata kuongea na Afisa uhamiaji ambaye amesema taarifa anazotoa ni nyeti na wala serikali isingependa zijulikane kwa raia wake maana zitaonesha Udhaifu wake.
Tumejadili yafuatayo:
1. Kwanini ukienda Uhamiaji unaombwa Birth Certificate wakati umeshai submit kwenye NIDA application ya ID?
Kanipa maelezo ambayo nimeridhika
Maelezo yake:
"Kazi inayofanywa na NIDA kimsingi ilipaswa kufanywa na uhamiaji Tanzania, maana watu wengi sasa wana national ID ambao kiukweli si watanzania, pia ndio maana hatuziamini sana Taarifa za NIDA ndo maana tunajiridhisha, kimsing suala hili limefanywa kisiasa"
Akaendelea...
"Siku hizi ukienda kufungua akaunt NMB hakuna haja tena ya kubeba makaratasi ya Serikali za Mitaa wala vitambulisho, cha msingi ni NIN yaani ID number ambayo wanaweka kwenye Portal inayowalink na NIDA kupata taarifa zako, lakini hiyo inakuwa haina madhara sana kwa NMB, kuliko sisi kutumia Portal hiyo tutawapa wasiopaswa pass, inabidi zoezi hili la NIDA lifanywe na Uhamiaji"
Akamalizia kwamba:
"Hata serikali ukiwauliza watakupa sababu zisizo za msingi juu ya hili, lakini ukweli ni kwamba hatuziamini sana taarifa za NIDA maana wakimbizi wengi wanazo hizo ID"
Idara za Serikali hawafanyi kazi kwa kuaminiana wakati wote wako chini ya serikali moja .Hii Ni chaos something is wrong somewhereSasa NIDA si iwe idara chini ya uhamiaji? Tatizo nini?
Uko sahihiUhamiaji na NIDA zote ni taasisi za serikali...
Sasa taasisi moja inapodai haiamini taarifa za taasisi nyingine hapo ndipo unaona jinsi gani serikali hii ilivyo disorganised na ya hovyo!
Ni duplication ya kazi nadhani kila mtu anajitahidi kulinda ajira yake aonekane Yuko busy kulinda ajira yake.Serikali iondoe duplication of works kwenye idara zake kwa kujenga kuaminiana Kati ya idara na idara kupunguza ukiritimba,duplication of works na kupunguza matumizi .So much duplication!!!!Uhamiaji na NIDA zote ni taasisi za serikali...
Sasa taasisi moja inapodai haiamini taarifa za taasisi nyingine hapo ndipo unaona jinsi gani serikali hii ilivyo disorganised na ya hovyo!
Not true we unasema utaratibu uliowekwa mi aikuhojiwa na Uhamiaji ungejua, pia the one who infomerd me is An Immigration officer (Mwenye Nyota mbili)Mkuu be informed kuwa ili upate NIDA kwasasa nijuavyo lazima ufanyiwe usahili face to face na UHAMIAJI.
nilienda kufungua account nmb nikajaza form wakasema niwape kitambulisho cha taifa nikashangaa mbona hawahitaji barua ya serikali za mitaa badala yake wanaomba ID kumbe!!!!Siku hizi ukienda kufungua akaunt NMB hakuna haja tena ya kubeba makaratasi ya Serikali za Mitaa wala vitambulisho, cha msingi ni NIN yaani ID number ambayo wanaweka kwenye Portal inayowalink na NIDA kupata taarifa zako
Hakuna kitambulisho kisichoisha muda wake, sababu ni kuwa baada ya muda kuna wengine hufariki, kuolewa (na kuchukua jina la mume) na wengine majina yao yanaongeza prefix/suffix (Dr, Prof, MD, PhD n.k)Nashangaa kitambulisho cha NIDA kina expire date nikashangaa Sana
Ukitoa 30,000 leo..ijumaa unapata cheti cha kuzaliwa aisee..
Uko sahihi nami nimeshuhudia wanyarwanda wawili mademu ninaowafahamu kwa undani wote wana passport za Tanzania na za Rwanda pia. Kwa Sasa wote wamesafiri nje ya nchi kwa kutumia passport za TanzaniaMbona hata Uhamiaji wanatoa passport kwa wasio raia wengi tu, hakuna taasis ya Tz isiyodanganyika, huyo afisa wa Uhamiaji asiji mwambafy.
Not true we unasema utaratibu uliowekwa mi aikuhojiwa na Uhamiaji ungejua, pia the one who infomerd me is An Immigration officer (Mwenye Nyota mbili)
Hapo watu huwa wanatengeneza maisha yao ujue!!.Sisi mpaka tuombe hela ya sensa
KabisaUkitoa 30,000 leo..ijumaa unapata cheti cha kuzaliwa aisee..
Kwani sheria inakataza wageni kuwa na NIDA?Leo nikiwa hapa Russia nimepata kuongea na Afisa uhamiaji ambaye amesema taarifa anazotoa ni nyeti na wala serikali isingependa zijulikane kwa raia wake maana zitaonesha Udhaifu wake.