KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Wewe ni "kada maarufu" wa nini mkuu!Umbea na uongo wa dhahiri, Eti umeambiwa na afisa uhamiaji, usichojua kule Nida ni lazima uhojiwe na uhamiaji na ndie anaesign upate kitambulisho..
Mleta mada acha uzandiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini nimependa jibu lako uliloweka hapa, bila kujali 'ukada' wako.