Niliwahi sikia msalaba ni laana, kila mtu abebe msalaba wake!

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
Mimi si mfuatiliaji wa Biblia sana ila siku moja wakati wa Pasaka nipo kanisani, wakati wanasimulia habari za Yesu kutundikwa msalabani walisema alibeba laana ya ulimwengu.

Sasa hii ya kila mtu angekuwa bwana Trump angesema every American yaani kila mmarekani abebe msalaba wake.

Leo nitakesha naomba huu msalaba uniepuke!
 
Mbona naona watu huvaa msalaba kifuani kama maskofu
Hua ni kinga ya nini?

Wasanii wa mziki naona nao wanavaa rozari kifuani sasa sijui yesu yupo hadi kwenye muziki au ni fashion tu

Mganga wa kienyeji nao huvaa bonge la msalaba sijui msalaba unanisha nini mtu akiuvaa. Msaada tafazali
 
Wana kagera washaanza kuubeba wao

Ova
Mimi si mfuatiliaji wa Biblia sana ila Siku moja wakati wa Pasaka Nipo Kanisani, wakati wanasimulia Habari za Yesu kutundikwa Msalabani walisema alibeba LAANA ya Ulimwengu.

Sasa hii ya kila mtu......! Angekuwa Bwana TRUMP angesema Every American! Yaani Kila Mmarekani abebe ...... wake!

Leo nitakesha naomba huu msalaba uniepuke!
 
Ngoja nilale,habari za misalaba tena usiku wote huu ni kuanza kukoseshana raha ya usingizi. Kwanza Simba kashinda kaniuziii.

Anyway, waulize Bukoba msalaba alowapa Magufuli unabebeka????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom