Niliwahi kusema hapa CRDB ni jipu, sasa Waziri Mkuu amtuma CAG kuichunguza!

Lakini serikali ndo mwanzilishu na ina hisa pale..kutoka aslimia 100 hadi 35 Sasa unasemaje kuwa haina hisa au siyo ya serikali
 
Acha upotoshaji mkuu CRDB sio mali ya serikali... Tatizo la watanzania kama wewe ni too much generalization ndo mana nchi inaliwa kila siku kwa sababu watu kama wewe mnapenda kuongelea mambo mazito kwa kuendekeza utani.
Sasa ndo utuambie ni ya nani!? na hayo majipu.ni yapi na yapi mkuu...sisis hatuna shida na umiliki wake!
 
Kama sijakosea largest shareholder ni Danida na ana almost 21% percent halafu kuna PPF ana 10% then kuna almost 50% inamilikiwa na commoners... jaribu kuingia kwenye website yao utaona vizuri.. hizi taarifa zipo wazi sema tu watu ni wavivu wa kusoma na wanakimbilia kufanya simple generalization
 
sio wavivu, ni wajinga kabisa! na wengi ni wale #Vijana46
 
CAG kuichunguza CRDB ni ukurupukaji mwingine wa Majaliwa kama alivyokiri suala la bei ya sukari.

Hapo wataikagua TPA na miamala yake, basi!
 
Lakini serikali ndo mwanzilishu na ina hisa pale..kutoka aslimia 100 hadi 35 Sasa unasemaje kuwa haina hisa au siyo ya serikali
Acha upotoshaji ndugu... labda kama unaongelea CRDB kabla ya mwaka 1996 ambayo ilikuwa ndo full owned by government. Hii tuliyonayo ni public company na kama ni umilikiwa serikali basi ni kupitia mashirika ya pension kama PPF lakini sio sawa na kusema eti ni serikali inamiliki. Na ndo mana kwenye board of directors ya CRDB hakuna mtu anateuliwa na serikali.
 
Hivi unajua kimei ni mwajiriwa wa serikali akitokea BOT baada ya kuambiwa na Mkapa akaiongoze?funguka ninawatu nawwjua wapo pale wametokea fedha funguka.
 
Acha upotoshaji mkuu CRDB sio mali ya serikali... Tatizo la watanzania kama wewe ni too much generalization ndo mana nchi inaliwa kila siku kwa sababu watu kama wewe mnapenda kuongelea mambo mazito kwa kuendekeza utani.
Sasa umeishia kulalamika tu tupe ukweli basi.
 
Acha ukabila wewe... Unaposema CRDB ni chaga empire una maana gani? Wingi wa watu kama wewe wenye mawazo mgando ndo mnasababisha nchi inaibiwa kila siku.
Nawezi sinyinyi wachaga katika siasa matraei wake wamarais mnaiba tuu.
 
Kama sijakosea largest shareholder ni Danida na ana almost 21% percent halafu kuna PPF ana 10% then kuna almost 50% inamilikiwa na commoners... jaribu kuingia kwenye website yao utaona vizuri.. hizi taarifa zipo wazi sema tu watu ni wavivu wa kusoma na wanakimbilia kufanya simple generalization
Sasa CAG tangu lini akakagua mali binafsi?inamaana CAG anaweza kukagua mali za mengi kweli?jifikirishe kidogo tu.
 
Hivi unajua kimei ni mwajiriwa wa serikali akitokea BOT baada ya kuambiwa na Mkapa akaiongoze?funguka ninawatu nawwjua wapo pale wametokea fedha funguka.
Ina maana mtu akitoka BOT na kwenda CRDB bado anahesabika ni mwajiriwa wa serikali? Hii kali sasa
Mi sitaki kukubishia tena kama unashikilia msimamo wako huo kwamba CRDB ni bank ya serikali akati nimekuthibitishia kwamba siyo.. Kinachofuata hapa naona ni ligi ya ubishi na mimi sipendi kubishania kitu kimoja mara mbili
 
Back
Top Bottom