This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,903
- 4,979
Tz hatuna utajiri bali tuna rasilimali za asili nyingi. KUWA na rasilimali si kwamba wewe ni tajiri. (Ufafanuzi)Kweli utajiri upo sana nchini ila hatujui namna ya kutumia fursa
Kauli za kusema Walituchelewesha zilikuwa ni siasa tu
Sauti ilikuwa moja
Matunda na Mazao mengi yamejaa na kauli tulizisikia sana kuwa tutawauzia majirani chakula wakiwa na njaa
Ila sijawahi kusikia vibali vitoke sana ili watu wapeleke bidhaa zetu Ulaya na Middle East kwenye hela huko ili tupate za kigeni
Tunahitaji hela za nje kujenga nchi na sio kukusanya kodi za ndani tu
La mwisho Dual citizenship inahitaji sana kwa wazawa waliopo nje
Hili limeingelewa sana ila waameweka pamba na hakuna sababu za msingi zaidi ya kutokuangalia faida zake