Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Jiwe iliamuliwa awe rais japo hakua na uwezo,kwa kuwa ishara zilionesha ugumu wa uchaguzi,wakaamua kumpa jiwe ambae anatoka Kanda ya ziwa ambako no lazima ukubalije ili uweze shinda uchaguzi,na walau Hana uchafu wa kutisha zaidi ya nyumba za serikali,rais wa tz hatokei kibahati
Ndugu hakuna ugumu wowote wa uchaguzi nchi hii haitokwenda kwa mpinzani. Ukichaguliwa na CCM wewe ni Rais issue ya uchaguzi halikuwepo kabisa na wala halitokaa liwepo kiasi cha kuinyima usingizi CCM.
 
Ndugu hakuna ugumu wowote wa uchaguzi nchi hii haitokwenda kwa mpinzani. Ukichaguliwa na CCM wewe ni Rais issue ya uchaguzi halikuwepo kabisa na wala halitokaa liwepo kiasi cha kuinyima usingizi CCM.
Ccm siyo ya kushinda uchaguzi kwa tofauti ya 2-4,%,uchaguzi wa 2015 ulikua ngumu,wanaiba lakini siyo kirahisi Kama unavodhani,unadhani angekua membe anagombea ccm ugumu ungekuaje na kabila lake dogo!!!?...magu akiongea kisukuma jukwaani,tabora,shinyanga,geita,simiyu,mwanza na majirani kote wanamuona mwenzao,hicho ni kilainishi tosha
 
Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na maana kwani ndiyo Ukweli wenyewe.

Huko nyuma nakumbuka nilisema na leo narudia tena Kusema hapa hapa JF kuwa hata wale Marais wa Dini zingine waliowahi Kutawala (Kuongoza) Tanzania pia huwa ni lazima iwe ni kwa Uwazi au Kificho waende Vatican kwa Papa na ilipo Ngome Kuu (kama si Kitovu) Cha Ukatoliki ili Kujitambulisha.

Na hii Nguvu ya Ukatoliki haijaibuka tu bali ni Makubaliano ' Maalum ' yaliyoluwa ya ' Kimkakati ' zaidi tokea Awamu ya Kwanza ambayo imepelekea kuwa na Kiapo cha ' Siri ' kwa Watawala (wenye Dhamana) kuwa nafasi zote zinaweza Kutwaliwa na Madhehebu mengine.

Ila kwa Urais au Makamu wake piga ua si Ombi bali ni lazima awe Mkatoliki na hili wala halina Mjadala na kwenda nalo Kinyume ni Kujitafutia matatizo hasa ikizingatia ndiyo Dhehebu Kubwa Tanzania na lenye Waumini wengi kama ilivyo Duniani lakini pia ndiyo inaaminika kuwa ni Werevu na Wasomi wazuri.

Kwa wale Wakristo wenzangu ambao mnaota (mnawaza) kuja kuwa Marais Tanzania miaka ijayo nakuambia (nakuambieni) mapema tu kuwa kama hutokei katika Dhehebu Kubwa la Katoliki sahau labda utaishia tu kuwa Waziri Mkuu au Nafasi zilizopo za chini.

Hata Mama nae si kwamba alichelewa Kumchagua (Kumteua) Makamu wake Kimakusudi ila alishatahadharishwa mapema tu na Watu waliokuwa wanalijua hili kuwa lazima Mteule wake awe Mkristo lakini pia atokee katika Dhehebu Kubwa, lenye Nguvu na Ushawishi la Katoliki.

Mlionidhihaki huko nyuma endeleeni tu.
Ndio maana taifa limekuwa la kijinga, linaabudu masanamu ie mwenge
 
Watu wanamahesabu marefu🤔
Ccm siyo ya kushinda uchaguzi kwa tofauti ya 2-4,%,uchaguzi wa 2015 ulikua ngumu,wanaiba lakini siyo kirahisi Kama unavodhani,unadhani angekua membe anagombea ccm ugumu ungekuaje na kabila lake dogo!!!?...magu akiongea kisukuma jukwaani,tabora,shinyanga,geita,simiyu,mwanza na majirani kote wanamuona mwenzao,hicho ni kilainishi tosha
 
Ila kwa Urais au Makamu wake piga ua si Ombi bali ni lazima awe Mkatoliki na hili wala halina Mjadala na kwenda nalo Kinyume ni Kujitafutia matatizo hasa ikizingatia ndiyo Dhehebu Kubwa Tanzania na lenye Waumini wengi kama ilivyo Duniani lakini pia ndiyo inaaminika kuwa ni Werevu na Wasomi wazuri.
Orodhesha maRais na makamu wao wote walioongoza Tz na madhehebu yao kuthibitisha usemayo
 
Back
Top Bottom