Nilivyouziwa msaada kwa Tsh 28,000 nikaubadili na kupata zaidi ya milioni 3 ndani ya siku 35

Nafurahi kuona mabandiko kama haya kutoka Kkoo. Ninavyo ijua Kkoo mpka raha. Kwa kila sector pale. Sema mm sio mwandishi mzuri.
Kwa tuliopo DAR tupatumie vzr hapo jaman
 
Kwa sababu sikuambulia chochote nilivyo soma ... kuna nguvu flani ukiifata fursa mwenyewe kuliko kuuliza ... tonatofautiana kwenye utekelezaji

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Hata usiwe na woga wakumwaga mchele kwenye kuku wengi, Hawa ndugu zangu watanzania hata umuambia fursa isiyohitaj pesa hawez kufanya sababu ya uvivu na kasumba ya mizaha na kucheka cheka kijinga.

Kikubwa saiz utakuwa unabonge la fremu kwa spid Ile uliyoianza hapo mwaka Jana
 
Back
Top Bottom