Nilivyosave Milioni 10 kwa miezi 6 na kujenga nyumba mbili na kununua gari zuri

Hapana, kikubwa ni kushusha gharama za kuishi na kusevu zaidi, wakati huohuo kuwa na mishe nyingi za pembeni, hizi ndiyo zinaleta kipato kikubwa.
Acheni story za vilabuni nankupotosha watu kwa maisha yakusadikika wewe unapokea 1.3m take home unataka ujiweke na wewe mgu wa maisha ya chini sawa na yule anaye pokea 340,000/ kwa mwezi , watu mna story sana za vitabuni nyie.
 
Hyo n ya wahoficn bado ya mtaan from zero to hero . . Itakuwa masaada kwa weng
 
Ukisevu mshahara wako wote kwa miezi sita bila kutumia kiasi chochote ni 1300000x6 =7,800,000 . Sasa hebu tueleze boss, hiyo 10m uliipataje kwa miezi 6 au wewe ni chuma ulete?
Acha Kuumbua Chai Tuinywe Tu Hata Bila Sukari
 
Back
Top Bottom