WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,233
Mimi karibia nitaacha kumuita rais wa tanzania.
Huyu ni Rais wa nchi ni lazima azungumze kwa maslahi ya taifa. Mchakato wa katiba ni lazima upitie kwake kwa mujibu wa katiba ya sasa, hakuna jinsi.
Mimi karibia nitaacha kumuita rais wa tanzania.
Ndugu zangu, Leo baada ya kupoteza muda wangu mwingi kumsikiliza Mh Dr JK nimepata kumfahamu zaidi na namna anavyoendesha nchi yetu.
1. Raisi wetu ana ''below average thinking capacity'' kama sitakosea masomo yake ya degree ya kwanza alipata GPA ya 2.0 hadi 2.5.
2. Dr JK anaongoza hii nchi kwa kutumia madesa na hii ni hatari sana maana hafikirii kufanya tofauti na kilichofanywa nyuma hata kama kuna haja ya kufanya hivyo.
Mwenye mengine unakaribishwa kushusha....
Nawakilisha
Si tu uwezo wake academically ni sifuri, bali ubongo wake pia ni mfu.
Ndio maana ni lazima ilibidi aongee na wazee wa ccm waliojikatia tamaa namna ile, ambao hawana future aspirations. Audience yake tells us as much more as his silly words. Hajui hiyo 2014 anaweza asiwepo ktk hayo madaraka.
Alichosema kuhusu mfumuko wa bei, kama sio uongo kwa kuwadanganya wazee basi rahisi wetu ana matatizo makubwa sana kifikra. Mfumuko wetu wa bei upo chini kuliko hizo nchi nyingine, sawa, vipi kuhusu raslimali tulizo nazo kulinganisha na hizo nchi nyingine? Raslimali tulizo nazo haziwezi kupungunguza huo mfumuko wa bei? Huo uchumi aliusomea wapi mtu huyu? Maprofesa waliomfundisha bado wapo hai, kwa nini wasimnyang'wanye hiyo digirii yake ya uchumi?
Ni kweli kwani hajaiangaikia kama wenzake Dr. wa ukweli slaa, Jk alikimbia umande akafikiri udokta unakuja kiivyo
kwanza on hiyo Dr. kwenye thread yako. Ni makosa kuanza na Dr. ikiwa hiyo ni shahada ya heshima.
udokta wa Slaa ni udocta bila degree! By then ni udocta wa cannon law..sheria za kanisa!! Tungempa nchi angeifanya kama kanisa katoliki.
Mtu anajikompare na nchi iliyofilisika,kasahau kuwa nchi yake ni maskini,ni bizzare kucompare vitu visivyocomperika,let say kijito na bahari
Sasa hapo umesema nini. Mbona husemi amekosea hili na lile umebaki kupiga majungu tu. Ebu kaa mbali na gumbaru yako hiyo. Ungewezaje kumwelewa Rais amesema nini wakati tayari ulishajiweka kisaikolojia kuwa hutamwelewa mbali na upeo wako mdogo huo?Ndugu zangu, Leo baada ya kupoteza muda wangu mwingi kumsikiliza Mh Dr JK nimepata kumfahamu zaidi na namna anavyoendesha nchi yetu.
1. Raisi wetu ana ''below average thinking capacity'' kama sitakosea masomo yake ya degree ya kwanza alipata GPA ya 2.0 hadi 2.5.
2. Dr JK anaongoza hii nchi kwa kutumia madesa na hii ni hatari sana maana hafikirii kufanya tofauti na kilichofanywa nyuma hata kama kuna haja ya kufanya hivyo.
Mwenye mengine unakaribishwa kushusha....
Nawakilisha
Alichosema kuhusu mfumuko wa bei, kama sio uongo kwa kuwadanganya wazee basi rahisi wetu ana matatizo makubwa sana kifikra. Mfumuko wetu wa bei upo chini kuliko hizo nchi nyingine, sawa, vipi kuhusu raslimali tulizo nazo kulinganisha na hizo nchi nyingine? Raslimali tulizo nazo haziwezi kupungunguza huo mfumuko wa bei? Huo uchumi aliusomea wapi mtu huyu? Maprofesa waliomfundisha bado wapo hai, kwa nini wasimnyang'wanye hiyo digirii yake ya uchumi?
job true trueKazi kwelikweli
JK anakuita ikulu ana sema ana shughuli na ww leo
Sasa hapo umesema nini. Mbona husemi amekosea hili na lile umebaki kupiga majungu tu. Ebu kaa mbali na gumbaru yako hiyo. Ungewezaje kumwelewa Rais amesema nini wakati tayari ulishajiweka kisaikolojia kuwa hutamwelewa mbali na upeo wako mdogo huo?