Nilivyomalizana na aliye ninyang'anya mke wangu kisha kunikodia wahuni wanipige

Marashi

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
2,774
4,269
.......basi,

Mimi nikasema acha niwe mnyonge, Boloyanki yeye abaki na huyo mke, amchukue tu. Mwaka 2017 hiyo.

Baada ya miezi kadhaa naishi bila mke ambaye wafanyakazi wenzie walikuwa wananiambia alikuwa akihudhuria kazini kutoka mitaa ya Mabibo kwa huyo mgoni wangu Boloyanki, nikasema hebu nifuatilie ukweli wa mambo.

Nikawa naenda pale kiwandani asubuhi sana. Natega kuona ataingiajeingiaje kazini. Baada ya siku kadhaa nilishuhudia akishushwa kwenye spacio old model na jamaa fulani mweupe bonge. Akaingia ofisini kwao. Nikapata mashaka isije kuwa lift tu kapewa na jamaa. Siku 3 mfululizo nikashuhudia jamaa yuleyule na gari ileile anamshusha. Na anaposhuka kama anampa hela fulani halafu ndo anashuka.

Nikajitokeza ofsini kwao. Siku nafika kila mfanyakazi alikuwa na hofu na mashaka...walikuwa "nakisanua kwa boss" wa wife. Wao walikuwa tayari wanajua mkanda mzima. Kweli nikasubiri dakika kadhaa nikaingia kwa Boss. Nikampa mkanda mzima.

Wife alipata misukosuko, aliambiwa arudi kwangu tuishi wote. Alikuwa ana hofu. Hakurudi. Aliendelea kuishi na "B" kama yeye alivokuwa akimuita.

Tukaenda Kurasini kanisa la Roma. Nikasajili mgogoro ili nimuache kisheria za kanisa. Wakamuita. Akakili ujinga wake. Na alisema katoa mimba mara 2...zote za B.

Kanisa likatuambia hakuna issue ni mgogoro wa wanandoa. Hatutakiwi kuachana. Nikakubali. Wakatupatanisha na tukaenda mafungo ya tafakari Bunju siku 3. Tukarudiana.

Around Novemba 2017 nilikutwa na tukio baya. Nilichomwa kisu.

Nilikua nimeenda Bar fulani Tabata maeneo ya Magengeni. Ofkozi ndo ilikuwa bar yangu pendwa....gemu zote za Liver naangalizia pale.

Ile natoka mida ya saa 7 nikachukua bajaji. Tukaondoka narudi mitaa ya kwa Swai. Kufika Kimanga mwisho konakona zile tukavamiwa na boda yenye mshkaki. ikatublock. Ghafla nikala kipigo na kisu cha mkono. Nikaporwa hela.

Soon likaja difenda. Kesi polisi 2 weeks jamaa wakakamatwa.

Uchunguzi ulionesha Boloyanki alikuwa anawasiliana na wale jamaa kumbe. Ilikuwa ni njama. Kesi ikaenda mahakamani.

Boloyanki na wenzie mwaka 2018 walifungwa miaka 7 wengine 12.

Miez 4 mbele tukaachana na bibie mazima. Mpaka leo.

Nimeleta kwa ufupi tu.

Ushauri wangu tuepuke maugomvi ya mapenzi aisee.

C &P toka kwa mwanangu K
 
Hata hivyo mkuu,nikuite fala kwa dakika 5 tu lakini,samahani kwa hilo usi maindi.yaani anakushuhudia hadi ametoa mimba za jamaa,still bado unakubali kuishi nae,duuuuu we kilaza aise.ukiona mwanamke amefika stage hizo,sepa fasta la sivyo ,maisha yako yatakata any time.
 
Inaonekana ulikimbilia kuoa kabla akili zqko hazijakomaa, ukishaona mke kafikia hatua hiyo huitaji kumshitakia kwa bosi wala kuambiwa na kqnisa nini cha kufanya mpe talaka uishi kwa amani unaweza hata kuwekewa sumu kama mke kakuchoka
 
.......basi,

Mimi nikasema acha niwe mnyonge, Boloyanki yeye abaki na huyo mke, amchukue tu. Mwaka 2017 hiyo.

Baada ya miezi kadhaa naishi bila mke ambaye wafanyakazi wenzie walikua wananiambia alikua akihudhuria kazini kutoka mitaa ya Mabibo kwa huyo mgoni wangu Boloyanki, nikasema hebu nifuatilie ukweli wa mambo.

Nikawa naenda pale kiwandani asubuhi sana. Natega kuona ataingiajeingiaje kazini. Baada ya siku kadhaa nilishuhudia akishushwa kwenye spacio old model na jamaa flan mweupe bonge. Akaingia ofisini kwao. Nikapata mashaka isije kuwa lift tu kapewa na jamaa. Siku 3 mfululizo nikashuhudia jamaa yuleyule na gari ileile anamshusha. Na anaposhuka kama anampa hela flan afu ndo anashuka.

Nikajitokeza ofsini kwao. Siku nafika kila mfanyakazi alikua na hofu na mashaka...walikua "nakisanua kwa boss" wa wife. Wao walikua tayari wanajua mkanda mzima. Kweli nikasubiri dakika kadhaa nikaingia kwa Boss. Nikampa mkanda mzima.

Wife alipata misukosuko, aliambiwa arudi kwangu tuishi wote. Alikua na hofu. Hakurudi. Aliendelea kuishi na "B" kama yeye alivokua akimuita.

Tukaenda Kurasini kanisa la Roma. Nikasajili mgogoro ili nimuache kisheria za kanisa. Wakamuita. Akakili ujinga wake. Na alise.a katoa mimba mara 2...zote za B.

Kanisa likatuambia hakuna issue...ni mgogoro wa wanandoa. Hatutakiwi kuachana. Nikakubali. Wakatupatanisha na tukaenda mafungo ya tafakari Bunju siku 3. Tukarudiana.

Around Novemba 2017 nilikutwa na tukio baya. Nilichomwa kisu.

Nilikua nimeenda Bar flan Tabata maeneo ya Magengeni. Ofkozi ndo ilikua bar yangu pendwa....gamu zote za Liver naangalizia pale.

Ile natoka mida ya saa 7 nikachukua bajaj. Tukaondoka narud mitaa ya kwa Swai. Kufika kimanga mwisho konakona zile tukavamiwa na boda yenye mshkaki. ikatublock. Ghafla nikala kipigo na kisu cha mkono. Nikaporwa hela.

Soon likaja difenda. Kesi polisi 2 weeks jamaa wakakamatwa.

Uchunguzi ulionesha Boloyanki alikua anawasiliana na wale jamaa kumbe. Ilikua ni njama. Kesi ikaenda mahakamani.

Boloyanki na wenzie mwaka 2018 walifungwa miaka 7 wengine 12.

Miez 4 mbele tukaachana na bibie mazima. Mpaka leo.

Nimeleta kwa ufupi tu.

Ushauri wangu tuepuke maugomvi ya mapenzi aisee.

C &P toka kwa mwanangu K
CHAI.
 
Mkuu !! Juzi tu umefunguwa uzi humu ukitaka ushauri kuhusu boloyang kakuchukulia mkeo na anakutishia maisha.

Leo umekuja na uzi ushamalizana nae miaka 3 iliyopita..

Na boloyang keshafungwa miaka 7 jela.

Duu!! Aisee!!

Sasa naamini "in jf ,,don't take some matters so serious."
 
Fuatilia ule uzi unamiaka mingap JF
 
Hata hivyo mkuu,nikuite fala kwa dakika 5 tu lakini,samahani kwa hilo usi maindi.yaani anakushuhudia hadi ametoa mimba za jamaa,still bado unakubali kuishi nae,duuuuu we kilaza aise.ukiona mwanamke amefika stage hizo,sepa fasta la sivyo ,maisha yako yatakata any time.
Hili jamaa si kenge!
 
Back
Top Bottom