Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Kamalizie hii simulizi yako
Mna Muattack jamaa bure tu, ukisoma hizi zimulizi zake unaona kabisa kuna kufanana labda pungufu pekee ni kuwa kwenye stori ya kwanza alichengesha vitu ili kunogesha maelezo yake.

Pia matumizi ya majina ni chaguo la mtu ndio maana kwenye stori ya pili hajamtaja Ibra kajata Mr Y.
 
Back
Top Bottom