Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

๐—ฌ๐—”๐—ก๐—œ ๐—ช๐—”๐—ง๐—จ ๐—ฆ๐—œ๐—๐—จ๐—œ ๐—ช๐—”๐—ฃ๐—ข๐—๐—˜! ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐——๐—›๐—”๐—ก๐—œ ๐— ๐—ง๐—จ ๐—ž๐—”๐—ญ๐—œ ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—˜ ๐—ก๐—œ ๐—ž๐—จ๐—”๐—ก๐——๐—œ๐—ž๐—” ๐—ง๐—จ ๐—”๐—ฆ ๐—œ๐—™ ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐— ๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—”...๐—›๐—”๐—ง๐—” ๐—”๐—ž๐—œ๐—ช๐—” ๐—”๐—ก๐—”๐—”๐—ก๐——๐—œ๐—ž๐—” ๐— ๐—”๐—ฅ๐—” ๐— ๐—ข๐—๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ ๐—ก๐—œ ๐—ฃ๐—ข๐—” ๐—ง๐—จ...๐—›๐—”๐—ง๐—” ๐—”๐—ž๐—œ๐—”๐— ๐—จ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—ข๐—ž๐—จ๐—”๐—ก๐——๐—œ๐—ž๐—” ๐— ๐—œ ๐—ก๐—”๐—ข๐—ก๐—” ๐—ฃ๐—ข๐—” ๐— ๐—”๐—”๐—ก๐—” ๐—ช๐—”๐—ง๐—จ ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—๐—จ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ž๐—˜๐—ฅ๐—” ๐—ฆ๐—”๐—ก๐—”...๐— ๐—”๐—ฅ๐—” ๐— ๐—จ๐— ๐—ž๐—˜๐—•๐—˜๐—›๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—จ๐—ฆ๐—œ ๐—๐—จ๐—จ
@๐—ž๐—ฒ๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—ป ๐—ฝ๐—ฎ๐˜‚๐—น
๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฝ๐—ถ ๐—ธ๐—ฎ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ
They don't know that they are learning.....usilaum saaan bongo nyosoo baada ya kujua mitandao
 
Mimi ni mwanaume lakini niseme ukweli. Katika nchi zenye wanaume wa hovyo hovyo, wavivu na saa zote wanawaza ngono wanapoona mwanamke ni Tanzania. Tuko nyuma kweli kweli na hatujui dunia inakokwenda. Na hali imekolezwa zaidi na mitandao kuingia. Watu wana approach kila wanayedhani ni mwanamke kwenye mtandao. Comments zimejaa sexism za kijinga na zilizopitwa na wakati. Habari ya nzuri yenye mafundisho mazuri ikiambatana na picha ya mwanamke watu wanakimbilia ku-comment kuhusu yule mwanamke na kuacha habari. Hii ni sehemu nzuri sana ya kuingiza kipato kwa wale matapeli wanaijifanya ni wanawake wanaotafuta wanaume.
Tafiti zinasema Siasa za Ujamaa zinaongeza nyege kwa wananchi wake.
 
Tatizo la watu humu JF wanapenda kusikia kile wanachotaka kusikia. Mtu ukiwa na mawazo kinzani kidogo japo ya kuwasaidia wanakuona kama umekuja kuharibu stori wakati hayo mawazo huenda yakawasaidia vijana ambao wengependa kujaribu bahati zao nje ya nchi. Story ya bwana Keagan Paul ni nzuri sana na inatoa darasa kwa vijana wenye ndoto za kutaka kusaka maisha nje. Tatizo kuna details ambazo kuna watu humu huenda wakazichukua kama zilivyo bila kuchanganya na za kwao wakajikuta matatani. Naweza kusema bwana Keagan alikuwa na bahati sana tena sana, nadhani waliokaa South Africa watakubaliana na mimi kuwa alikuwa na bahati sana. Kitendo cha kuishi bila permit halafu unajiachia hivyo ni bahati sana kusurvive. Kwa hiyo vijana wale mnaotaka kwenda huko muwe makini, bwana Keagan kama aliweza kujiachia bila permit msidhani maisha ndio yako hivyo, utadakwa dakika moja tu na kupelekwa sehemu inaitwa Lindela kusubiria kuwa deported. Kama nilivyosema kitendo cha kusafiri kwenda Lesotho wakati viza imeexpire ni bahati ya mtende na pia nampongeza sana kwa huo ujasiri. Viza ikiexpire ukiwa ndani ya nchi ni kesi kubwa sana halafu akaamua kusafiri kwenda nchi nyingine wakati anajua hata kibali cha kuwemo nchi husika hana, huo ni ujasiri mkubwa sana na nachelea kumpa pongezi maana alikuwa kama anajiweka kwenye mazingira ya kurahisisha ukamatwaji wake. Kwanza najiuliza walifikaje boarder ya Lesotho bila kukutana na roadblock hata moja na kukaguliwa ID zao? Pili yule migration officer wa upande wa South Africa aligongaje exit stamp bila kumkamatisha kwa kosa la kuishi nchini illegally, najua amesema aliweka rand 300 kwenye passport. Haya wakati wa kurudi aliwezaje kuingia tena SA wakati viza ilishaexpire? Bwana Keagan ukipata muda naomba uelezee kidogo kuhusu issue ya kutoka na kuingia tena South Africa wakati viza imeisha ili vijana wajifunze maana kuna wengine wanaweza kudhani kuishi bila vibali South Africa sio tatizo wakati ni tatizo kubwa sana linaloweza kuwapeleka jela. Viza ikiexpire kisheria huwezi kurenew ukiwa ndani ya ardhi ya South africa hata kama unatoka SADC lazima utoke nje, na utapata misukosuko sana.
Uko sahihi kabisa mkuu. Mimi nimekaa capetown miaka mitano..bahati nilikua na permit ya kusoma. Ila niliona wabongo wengi sana wakipata shida hiyo ya kuishi na expired visa. Yaani huishi kwa amani na kila ukiona polisi presha inapanda.

Na mimi nataka nijue keagan alisafiri vipi kwenda lesotho visa yake ya SA ikiwa imeexpire...maana pale border wakiswap passport yake system hapo hapo inawashtua kwamba huyu mtu akamatwe kwa kuoverstay. Na kama hawajamkamata lazma wajieleze kwa wakubwa zao maana system inatuma taarifa. Na kama alitoka na kuingia lesotho alirudi vipi SA? Maana adhabu ya kuoverstay ni kwamba huruhusiwi kurudi SA kwa miaka mitano.

Na mimi nasubiri sana ufafanuzi
 
Ha ha ha kila uzi wenye watu wengi wanatumia fursa KUDANGIA. Yaani kila kitu wanajua, kila nchi wamefika. Nawapigia saluti hawa malaya/wadangaji wa jf.
Ki ukwel wanasikitisha sana wanapeana na mbinu za kuwapata matajiri ili waolewe katikat ya Uzi wa mtu tena uzi unatufundisha watu mwingine anamatako makubwa wengine kukosoa hebu tupunguze ujuaji kidogo hata mleta Uzi nikituma hii episode sijui watanikosoa tena kuna mmoja alileta Uzi wake humu alikua akikosolewa anasusa na kutishia kuto kuendelea nashangaa kwenye Uzi huu kawa mkosoaji no 1 mkuu unaharb Uzi kama anakosea mwache hivyo hivyo (mgombea urais 2025) umejijua
 
Afu Roadtrip inakua tamu kama hamjazidi watatu hivi, huku mko kwenye hata defender ina tent lenu juu, ndani mna soft drinks plus maboksi ya ceres kibao, unagonga huku unachungulia grants zako kwa jicho la mafanikio, maji katoni kadhaa, ngoma inaanzia songea inapumua kidogo makambako unachoma kuku kizushi then inajaza mafuta, gari inawekwa kwa mexisons inapigwa povu kiaina, ikikamata highway inakuja kusimama Dom kidogo, inanunua wine za bei ya jumla, inaamsha kwenye nyama bahi kidogo unakula mbuzi na whisky funda mbili tatu, ngoma inaenda kulala manyoni kuna lodge za maana, hapo asubuhi inakamta supu ya kuku wa kienyeji then inatembea vumbi vumbi inakuja kula Tinde hapo unapumzika gari unafungua milango yote ipate hewa vizuri, baadae. Ikitoka tinde ngoma inasound hadi kahama unashangaa phantom kidogo unapita masumbwe, Ushirombo, Runzewe ngoma inapandisha Bwanga, inakula geita unaenda kulala hapo kwanza unasoma upepo haya mbele utaendelea mwenyewe
Hzo road trip huwa nawaza itapendeza zaidi ukiwa na hii kitu toyota coaster camping,afu ndani iwe na chumba,choo,jiko na sebure,afu mtu nne,ke mbili,me mbili,baada ya kutulia geita mnaingia rubongo mnaenda kunasa samaki na kuchoma na kushangaa tembo baada ya siku mbili mnaingia rock city tena mnaingia mida ya saa 6 mnatulia kwenye kivuli cha paa la nyasi mnamalizia wine zenu mlizochukua domu mixer spirit
images (8).jpeg
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Mimi nimekaa capetown miaka mitano..bahati nilikua na permit ya kusoma. Ila niliona wabongo wengi sana wakipata shida hiyo ya kuishi na expired visa. Yaani huishi kwa amani na kila ukiona polisi presha inapanda.

Na mimi nataka nijue keagan alisafiri vipi kwenda lesotho visa yake ya SA ikiwa imeexpire...maana pale border wakiswap passport yake system hapo hapo inawashtua kwamba huyu mtu akamatwe kwa kuoverstay. Na kama hawajamkamata lazma wajieleze kwa wakubwa zao maana system inatuma taarifa. Na kama alitoka na kuingia lesotho alirudi vipi SA? Maana adhabu ya kuoverstay ni kwamba huruhusiwi kurudi SA kwa miaka mitano.

Na mimi nasubiri sana ufafanuzi
Kabisa mkuu. Subiri tumsikilize mtoto wa mstaafu tuone alivukaje hiki kihunzi.
 
Tatizo la watu humu JF wanapenda kusikia kile wanachotaka kusikia. Mtu ukiwa na mawazo kinzani kidogo japo ya kuwasaidia wanakuona kama umekuja kuharibu stori wakati hayo mawazo huenda yakawasaidia vijana ambao wengependa kujaribu bahati zao nje ya nchi. Story ya bwana Keagan Paul ni nzuri sana na inatoa darasa kwa vijana wenye ndoto za kutaka kusaka maisha nje. Tatizo kuna details ambazo kuna watu humu huenda wakazichukua kama zilivyo bila kuchanganya na za kwao wakajikuta matatani. Naweza kusema bwana Keagan alikuwa na bahati sana tena sana, nadhani waliokaa South Africa watakubaliana na mimi kuwa alikuwa na bahati sana. Kitendo cha kuishi bila permit halafu unajiachia hivyo ni bahati sana kusurvive. Kwa hiyo vijana wale mnaotaka kwenda huko muwe makini, bwana Keagan kama aliweza kujiachia bila permit msidhani maisha ndio yako hivyo, utadakwa dakika moja tu na kupelekwa sehemu inaitwa Lindela kusubiria kuwa deported. Kama nilivyosema kitendo cha kusafiri kwenda Lesotho wakati viza imeexpire ni bahati ya mtende na pia nampongeza sana kwa huo ujasiri. Viza ikiexpire ukiwa ndani ya nchi ni kesi kubwa sana halafu akaamua kusafiri kwenda nchi nyingine wakati anajua hata kibali cha kuwemo nchi husika hana, huo ni ujasiri mkubwa sana na nachelea kumpa pongezi maana alikuwa kama anajiweka kwenye mazingira ya kurahisisha ukamatwaji wake. Kwanza najiuliza walifikaje boarder ya Lesotho bila kukutana na roadblock hata moja na kukaguliwa ID zao? Pili yule migration officer wa upande wa South Africa aligongaje exit stamp bila kumkamatisha kwa kosa la kuishi nchini illegally, najua amesema aliweka rand 300 kwenye passport. Haya wakati wa kurudi aliwezaje kuingia tena SA wakati viza ilishaexpire? Bwana Keagan ukipata muda naomba uelezee kidogo kuhusu issue ya kutoka na kuingia tena South Africa wakati viza imeisha ili vijana wajifunze maana kuna wengine wanaweza kudhani kuishi bila vibali South Africa sio tatizo wakati ni tatizo kubwa sana linaloweza kuwapeleka jela. Viza ikiexpire kisheria huwezi kurenew ukiwa ndani ya ardhi ya South africa hata kama unatoka SADC lazima utoke nje, na utapata misukosuko sana.
Sisi hayo mengine hayatuhusu, tunachosubiri kusikia ni Kanya,, Kanya tena!
 
Wakuu leo naomba kuleta Story yangu ya kweli ya jinsi nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu kule wala mtu wa kunipokea.

Ukweli kuna wakati ilifika nilichoka sana maisha ya hapa nyumbani, ilikuwa Mwaka 2014, nilikuwa napitia changamoto nyingi za maisha hasa katika familia. Ukweli akili ilikuwa imechoka sana ilisababishwa na kutokuwa na ajira muda mrefu.

Hata baadhi ya watu sikuwa napenda kukutana nao sana. Nikajiuliza kwani Maisha ni hapa tu nyumbani? kwani hakuna sehemu nyengine? Nikajisemea labda sikuandikiwa kutoboa hapa nyumbani ngoja nikajaribu bahati yangu sehemu nyengine.

Kabla ya kufanya maamuzi ya kwenda South Africa, Kwanza niliwaza kujaribu bahati yangu Marekani, nina ndugu kama watatu huko. Nikamcheki ndugu yangu mmoja akanitumia Invitation Letter. Nikaanza kupambana pale Ubalozini. Nilifika kwenye Usahili lakini nilikosa VISA.

Mkuu weka episodes zote hapa kwenye ukurasa huu wa kwanza kama ulivyofanya hizo sehemu 1 - 9
 
Sisi hayo mengine hayatuhusu, tunachosubiri kusikia ni Kanya,, Kanya tena!
Wale wanaosisimuka na stori za kikanya kanya waende kwenye jukwaa la mapenzi..kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara watakata kiu yao. Huku tubaki watu serious
 
Tatizo la watu humu JF wanapenda kusikia kile wanachotaka kusikia. Mtu ukiwa na mawazo kinzani kidogo japo ya kuwasaidia wanakuona kama umekuja kuharibu stori wakati hayo mawazo huenda yakawasaidia vijana ambao wengependa kujaribu bahati zao nje ya nchi. Story ya bwana Keagan Paul ni nzuri sana na inatoa darasa kwa vijana wenye ndoto za kutaka kusaka maisha nje. Tatizo kuna details ambazo kuna watu humu huenda wakazichukua kama zilivyo bila kuchanganya na za kwao wakajikuta matatani. Naweza kusema bwana Keagan alikuwa na bahati sana tena sana, nadhani waliokaa South Africa watakubaliana na mimi kuwa alikuwa na bahati sana. Kitendo cha kuishi bila permit halafu unajiachia hivyo ni bahati sana kusurvive. Kwa hiyo vijana wale mnaotaka kwenda huko muwe makini, bwana Keagan kama aliweza kujiachia bila permit msidhani maisha ndio yako hivyo, utadakwa dakika moja tu na kupelekwa sehemu inaitwa Lindela kusubiria kuwa deported. Kama nilivyosema kitendo cha kusafiri kwenda Lesotho wakati viza imeexpire ni bahati ya mtende na pia nampongeza sana kwa huo ujasiri. Viza ikiexpire ukiwa ndani ya nchi ni kesi kubwa sana halafu akaamua kusafiri kwenda nchi nyingine wakati anajua hata kibali cha kuwemo nchi husika hana, huo ni ujasiri mkubwa sana na nachelea kumpa pongezi maana alikuwa kama anajiweka kwenye mazingira ya kurahisisha ukamatwaji wake. Kwanza najiuliza walifikaje boarder ya Lesotho bila kukutana na roadblock hata moja na kukaguliwa ID zao? Pili yule migration officer wa upande wa South Africa aligongaje exit stamp bila kumkamatisha kwa kosa la kuishi nchini illegally, najua amesema aliweka rand 300 kwenye passport. Haya wakati wa kurudi aliwezaje kuingia tena SA wakati viza ilishaexpire? Bwana Keagan ukipata muda naomba uelezee kidogo kuhusu issue ya kutoka na kuingia tena South Africa wakati viza imeisha ili vijana wajifunze maana kuna wengine wanaweza kudhani kuishi bila vibali South Africa sio tatizo wakati ni tatizo kubwa sana linaloweza kuwapeleka jela. Viza ikiexpire kisheria huwezi kurenew ukiwa ndani ya ardhi ya South africa hata kama unatoka SADC lazima utoke nje, na utapata misukosuko sana.
Hivi story yake imeisha? Mpe uhuru wa kuandika story yake.
Ujasiri na unachokiamini, wakati mwingine ni silaha tosha kwenye kufanya jamboโ€”hata likiwa la hatari.
Kuna watu huwezi kuwaona ofisini bila appointment na wao kuwa na details zako. Lakini kuna watu wanaingia bila appointment wala kufahamika. Confidence, knowledge, belief na kuwa positive itafanya ufanye yale yanayoonekana hayawezekani.

Relax bro, tunajua ulikuwa na story yako na huyu pia yuko na story yake. Mpeni uhuru.
 
Mimi niliona hayo maisha nikasema siwezi kuishi hivyo. Kama siwezi kuishi nje kihalali bora nirudi tu bongo...maisha magumu lakini angalau unapambana kwa amani...maisha ya paka na panya na immigration ni maisha ya hovyo sana
Tena kwa Gauteng bila permit huwezi kulast hata mwezi bila kudakwa labda uwe unashinda ndani. Miji mingine unaweza kuishi bila permit ila Johannesburg never. Kuna wabongo flani walikuwa wanauza matunda pale MTN tax rank, downtown Joburg, kila nikipita maeneo hayo lazima nipige nao stori mbili tatu. Enzi hizo nilikuwa bado nipo high school, walikuwa wana permit hizi za ukimbizi, lakini pamoja na kuwa na permit bado wazee walikuwa wanazichana chana hizo permit zao na kuwakamata na kuwapeleka Lindela, so kila nilipokuwa nikienda kuwasalimia walikuwa wananiambia flani kakamatwa, flani kakamatwa. Unaweza kuona jinsi kulivyo kugumu kuishi bila permit Johannesburg.
 
Mimi ni mwanaume lakini niseme ukweli. Katika nchi zenye wanaume wa hovyo hovyo, wavivu na saa zote wanawaza ngono wanapoona mwanamke ni Tanzania. Tuko nyuma kweli kweli na hatujui dunia inakokwenda. Na hali imekolezwa zaidi na mitandao kuingia. Watu wana approach kila wanayedhani ni mwanamke kwenye mtandao. Comments zimejaa sexism za kijinga na zilizopitwa na wakati. Habari ya nzuri yenye mafundisho mazuri ikiambatana na picha ya mwanamke watu wanakimbilia ku-comment kuhusu yule mwanamke na kuacha habari. Hii ni sehemu nzuri sana ya kuingiza kipato kwa wale matapeli wanaijifanya ni wanawake wanaotafuta wanaume.
Hiki kitu ndo kinanikwaza sana ...mwanamke ukijipeleka sehemu kama KFC kurefresh kwa hela yako watu wanadhani unadanga...ukinunua kagari kwa saving zako wanahisi umehongwa...ukianda cheo kazini kuna watu wapumbavu wanahisi unatembea na boss...watu wanawaza ngono ngono ngono muda wote
Mimi ni mwanamke sex ni part muhimu sana ya maisha lakini sio first priority katika maisha na sipendi initawale...napenda sana kuwa na marafiki wa kike na kiume ila sipendi kutongozwa...najikuta napata wakati mgumu kwa baadhi ya watu...ukimchekea tu kashawaza kukufunua nguo...come on maisha ni ziadi ya sex...watu hawawazi productive friendship bila ngono...and i hate that...ngono ngono ngono why?!
 
Ukweli ni kwamba ni nadra sana mwanamke na mwanaume kuwa marafiki tu. It happens once in a while ila ni ngumu. Hata hao marafiki zako wa kiume i can almost guarantee one or two of them wamewaza sana kukuonja na wanasubiri opportunity
 
Tena kwa Gauteng bila permit huwezi kulast hata mwezi bila kudakwa labda uwe unashinda ndani. Miji mingine unaweza kuishi bila permit ila Johannesburg never. Kuna wabongo flani walikuwa wanauza matunda pale MTN tax rank, downtown Joburg, kila nikipita maeneo hayo lazima nipige nao stori mbili tatu. Enzi hizo nilikuwa bado nipo high school, walikuwa wana permit hizi za ukimbizi, lakini pamoja na kuwa na permit bado wazee walikuwa wanazichana chana hizo permit zao na kuwakamata na kuwapeleka Lindela, so kila nilipokuwa nikienda kuwasalimia walikuwa wananiambia flani kakamatwa, flani kakamatwa. Unaweza kuona jinsi kulivyo kugumu kuishi bila permit Johannesburg.
Yes gauteng nasikia ni noma. Mimi nilikua naishi mji mdogo nje ya capetown unaitwa somerset west. Pale immigration walikua sio wakali sana enzi hizo..labda sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom