Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,906
- 30,247
- Thread starter
- #61
P
Hii ni merry go round.
Pascal,Ukiandika maelezo yako uwe unayapitia pia kuyakumbuka. Ngoja nikunukuu kujibu swali lako "Dr Mutahangarwa alikuwa Mwafrika wa kwanza kufuzu udaktari." Wapi hayo unayosema kuwa hao niliotaja wanaingiaje. Kimsingi, linaweza kuwa kosa la kawaida katika uandishi. Hata hivyo, umefanya general assertion ambayo, kiuandishi wa kisomi, kama ningekuwa nakusahihisha, nisingekosa kuuliza swali, MWAFRIKA WA KWANZA KUFUZU UDAKTARI?!!!!! Seriously? Kwa vile wewe ni mwandishi na msomi, hapa utaelewa na kukubali kuwa ulikosea jambo ambalo ni la kawaida na kama binadamu lazima utakosea hata pale ambapo hukutegemea kwa msomi wa kiwango chako.
Hii ni merry go round.