Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,668
- 149,840
Nimejaribu kupitia hii sheria na kwa uelewa wangu,sidhani kama EWURA wamefanya kosa lolote maana mamlaka ya kupanga bei ni yao na katika hili hawalazimishwi kufanya consultation na waziri isipokuwa nilichogundua ni waziri kuwa na mamlaka ya kutumia emergency power pale anaponaa inafaa.
Ukisoma section(PART 11) ya sheria hii inayohusu madaraka(power) of the Minister na Authority(EWURA) utakuna na vifungu vifuatavyo:
POWER OF THE AUTHORITY
5(b)approve and enforce taariffs and fees charged by the licensees
Hapa Authority ni EWURA na licensee(kwa hii case) ni TANESCO
Ukisoma vipengele vyote kuanzia 5(a)-(d) hakuna sehemu inayosema Authoriy na hapa EWURA,watatakiwa kushauriana na waziri katika kupanga hii bei ya umeme.
Vile vile ukisoma sheria hii kifungu cha 6-(2) ndio kinaeleza maswala ambayo Authority(EWURA) wanalazimika kushauriana na waziri
Kipengele hicho kinasomeka:
6-(2)
The Authority shall,in the exercise of its function, consult the Minister on matter of common concern including
(a)Mattres of security nature
(b)Matters involving
(i)Compulsory acquisition of land
(ii)Preservation of the environment
(iii)Cross-border trade in electricty and
(iv)Development of other sources of energy in the electricity supply.
Katika vipengele vyote utaona hakuna hata kimoja kinachozungumzia Authority(EWURA) kushauriana na waziri.
Hata kipengele cha 7(a) cha sheria hii kinaitaka Authority(kuna neno shall) ku-submitt kwa waziri annual report na kipengele 7(b) kinaongelea ku-submit other reports on its activities relating to the electricity as the Minister may request(hapa ni kama waziri atahitaji ripoti fulani)
Isipokuwa sasa kifungu 4-(2) cha sheria hii ambacho nacho kinaongelea madaraka ya waziri(Power of the Minister) kinasomeka:
4-(2)
Without prejudice to subsection(1),the Minister shall exercise emergency powers and co-ordinate emergency responses in close cordination with Authorit and a licensee.
Kwa mtazamo wangu kipengele hiki cha cha 4(2) ndio kimempa waziri haki ya kutimia emergency power kuingilia uamuzi huu wa EWURA ingawa sheria inataka afanya hivyo in close cordination na EWURA kama Authority na TANESCO kama licensee.
Kipengele cha 4-(1) kinaongelea madaraka yote ya waziri kuhusiana na "electric supply industry" na electric supply industry katika hii sheria imefafanuliwa kama ifuatavyo;
"electric supply industry" means electricity generation,electric power transmission,electrctric distribution and electric retailling.
Mpaka hapa kwa uelewa wangu naona EWURA hawajafanya kosa lolote na waziri nae katumia mamlaka yake kwa mujibu wa hii sheria.
Mimi si mwanasheria na ufafanuzi huu si wa mtaalamu wa sheria bali huu ni uelewa wangu mimi kama mwananchi wa kawaida tu.
Karibuni wataalamu wa sheria mtusaidie hasa kwa upande wa maboresho ya sheria hii(kama yalifanyika) pamoja na mambo mengine muhimu ya kuzingatia(kama yapo).
NB:Waziri(Minister) anaetajwa katika sheria hii amekuwa defined ni yule anaehusika na maswala ya umeme(electricity matters).