Nilivyofurahia Bilicanas kuvunjwa

Wakati club hii kongwe ilivyokuwa inaharibiwa mimi nilikuwa nafanya biashara ya chips pembezoni ya club. Kwakweli nilikuwa naingiza sio chini ya laki kila siku ya club.

Binafsi nilikuwa simpendi Mbowe kwa sababu nilihisi ni mwizi tu hivyo wakati club yake inaharibiwa nilifurai sana moyoni nikajua jizi limekamatwa.

Nilikuwa nina mawazo finyu kwasababu sikujua kuendelea kuwepo kwa club ile ndio ilikuwa maendeleo ya biashara yangu.

Sasa hivi biashara nimefunga na hali yangu mbaya sana kiuchumi na nikimuangalia Mbowe yuko vizuri tu.

Sasa hivi natamani bills irudi tu kama Zamani. Nimegundua wivu ni mbaya sana.

Unaweza hisi mwenzako akifilisika wewe ndio unapanda kumbe yeye ndio anaekufanya upate kipato bila kujijua.

Bora mbowe anisamehe na waliovunja club wapotee kabisa.
Na bado nyie si ndio mnakuwaga na wivu na wachaga? Wachaga wana akili nyingi huwez kuwahujumu kwa namna yoyote utaaibika tu
Mbowe ni tajiri tangu kitambo Ana mikampuni uk,usa,sauz,Nairobi ,Dubaï etc sembuse hicho ki billicanas? Jutia ujinga wako
 
Vipi kwa wazazi ambao watoto wao wamekuwa mateja kwa sababu kunywa madawa ya kulevya kwenye hiyo club?

Nao washangilie tu kwa sababu wewe ulikuwa unaingiza laki 2?
Ulikuwa ukinywa hayo madawa ewe mwehu? Viji chuki vyenu Wala havijamrudsha nyuma ndio Kwanza kapata faida Ana makampuni kibao sauz, Dubai, Nairobi,UK,USA nk nenden na huko Kama mtaweza
 
Yaani chuki ilikugubika kiasi kwamba hata hujukua chanzo cha mapato yako?
 
Usisingizie club bali jitafakari wewe na fikra zako.. umekimbilia kushindwa.. usipojisukuma kupiga hatua utakaa hapo hapo unalia lia tu.
 
Wakati club hii kongwe ilivyokuwa inaharibiwa mimi nilikuwa nafanya biashara ya chips pembezoni ya club. Kwakweli nilikuwa naingiza sio chini ya laki kila siku ya club.

Binafsi nilikuwa simpendi Mbowe kwa sababu nilihisi ni mwizi tu hivyo wakati club yake inaharibiwa nilifurai sana moyoni nikajua jizi limekamatwa.

Nilikuwa nina mawazo finyu kwasababu sikujua kuendelea kuwepo kwa club ile ndio ilikuwa maendeleo ya biashara yangu.

Sasa hivi biashara nimefunga na hali yangu mbaya sana kiuchumi na nikimuangalia Mbowe yuko vizuri tu.

Sasa hivi natamani bills irudi tu kama Zamani. Nimegundua wivu ni mbaya sana.

Unaweza hisi mwenzako akifilisika wewe ndio unapanda kumbe yeye ndio anaekufanya upate kipato bila kujijua.

Bora mbowe anisamehe na waliovunja club wapotee kabisa.
Napata shida na uwezo wako wa kufikiri,wewe ulikuwa unauza chips kando ya bills na akili yako ilikuwa inakutuma bills ikivunjwa haitoathiri biashara yako kweli? Una elimu ya kiwango gani? Kama atleast una form iv basi soma soma micro economy notes upate ABCs za Uchumi.
 
Mkuu rudia kusoma kimakala hiki ukiwa umekaa na Maji ya kunywa pembeni!
Usisome mithili ya Gazeti la udaku!!
 
Sasa wewe kuingiza laki mbili kwa siku haiwezi kumkinga mbowe na tuhuma alizonazo, labda kama alisingiziwa.
Endelea tu kuuchapa usingizi, kwanza lakimbili umeipata wapi! Pili biashara hiyo ya chips haikuwa ndani ya Bills hivyo haikuwa na uhusiano wowote na Mbowe.
Mwisho, wewe ni mzito wa kuelewa jambo.
 
Napata shida na uwezo wako wa kufikiri,wewe ulikuwa unauza chips kando ya bills na akili yako ilikuwa inakutuma bills ikivunjwa haitoathiri biashara yako kweli? Una elimu ya kiwango gani? Kama atleast una form iv basi soma soma micro economy notes upate ABCs za Uchumi.
Unajua Rohombaya inatokana na hisia ualisia unausahau paka dhoruba ikukumbe. Ndio kilichonitokea. Nilishangilia mwenzangu kuumizwa bila kujua ni wamuhim kwangu kuliko muumizaji
 
Na bado nyie si ndio mnakuwaga na wivu na wachaga? Wachaga wana akili nyingi huwez kuwahujumu kwa namna yoyote utaaibika tu
Mbowe ni tajiri tangu kitambo Ana mikampuni uk,usa,sauz,Nairobi ,Dubaï etc sembuse hicho ki billicanas? Jutia ujinga wako
Tajiri ameshindwa kujenga ofisi ya chama?
 
Wakati club hii kongwe ilivyokuwa inaharibiwa mimi nilikuwa nafanya biashara ya chips pembezoni ya club. Kwakweli nilikuwa naingiza sio chini ya laki kila siku ya club.

Binafsi nilikuwa simpendi Mbowe kwa sababu nilihisi ni mwizi tu hivyo wakati club yake inaharibiwa nilifurai sana moyoni nikajua jizi limekamatwa.

Nilikuwa nina mawazo finyu kwasababu sikujua kuendelea kuwepo kwa club ile ndio ilikuwa maendeleo ya biashara yangu.

Sasa hivi biashara nimefunga na hali yangu mbaya sana kiuchumi na nikimuangalia Mbowe yuko vizuri tu.

Sasa hivi natamani bills irudi tu kama Zamani. Nimegundua wivu ni mbaya sana.

Unaweza hisi mwenzako akifilisika wewe ndio unapanda kumbe yeye ndio anaekufanya upate kipato bila kujijua.

Bora mbowe anisamehe na waliovunja club wapotee kabisa.
Si vyema kumuombea mwanadamu mwenzio mabaya
 
Bahati mbaya maaisha yangu yote sijawahi kukanyaga ndani ya hiyo club, zaidi kupita nje tu.

Hiyo vunja inatuonesha jinsi gani watz tulivyo "...machoni kama watu mioyoni hatuna utu......"

By the way jina "Billcanas" lina maana yoyote kwa lugha yoyote.
 
Wakati club hii kongwe ilivyokuwa inaharibiwa mimi nilikuwa nafanya biashara ya chips pembezoni ya club. Kwakweli nilikuwa naingiza sio chini ya laki kila siku ya club.

Binafsi nilikuwa simpendi Mbowe kwa sababu nilihisi ni mwizi tu hivyo wakati club yake inaharibiwa nilifurai sana moyoni nikajua jizi limekamatwa.

Nilikuwa nina mawazo finyu kwasababu sikujua kuendelea kuwepo kwa club ile ndio ilikuwa maendeleo ya biashara yangu.

Sasa hivi biashara nimefunga na hali yangu mbaya sana kiuchumi na nikimuangalia Mbowe yuko vizuri tu.

Sasa hivi natamani bills irudi tu kama Zamani. Nimegundua wivu ni mbaya sana.

Unaweza hisi mwenzako akifilisika wewe ndio unapanda kumbe yeye ndio anaekufanya upate kipato bila kujijua.

Bora mbowe anisamehe na waliovunja club wapotee kabisa.
Tulia dawa ikuingie !
 
Jiwe alikua rol model wako nn? Maana jamaa alikua na roho ya kutu kiasi hapendi fulani afanikiwe....
Alichukia sana kuona watu flani wanapata mafanikio
 
Back
Top Bottom