Nilivyo-date na mzungu nikajikuta Finland mpaka Malmo-Sweden

Hivi unaujua umbali kutoka Tempere hadi Göteborg kweli wewe??
Ni kweli Finland inapakana na Sweden ila sio huo upande uliojaribu kuuhadithia hapa

Halafu mkapanda bus hadi Nairobi then chopa, mara dubai, mara Netherland, hivi ni chopa aina gani hii??

Itoshe tu kusema hii chai imepoa labda uipashe moto kidogo na kuongezea spices
 
Hivi wewe ndio ulimegwa kwa 7800?

Mahakama ya haki. Tuwakutanishe hawa wawili
 
Naomba tafadhali sana akikujibu unijulishe!!

Mahakama ya haki. Tuwakutanishe hawa wawili
 
Huyu kicheche muongo mpaka najisikia aibu..... Hii story kaichukua halafu sababu hayupo vizuri kichwani kashindwa hata ku edit. Hongera zake kusafiri umbali wote huo kwa chopa. Halafu why mzungu aache dini kwa ajili ya papuchi tu? Sijaona kama ni padre....huyu kicheche ni mwongo jamani,jamani kuna watu waongo duniani....daaaah. mi nmechoka kabisa. But why?
Tulia basi na wewe
 
wivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom