Nilivomuelewa Mh Mbowe, Jana, Saranga.

N

Nabihu

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Messages
277
Likes
44
Points
45
N

Nabihu

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2012
277 44 45
Habar wanajopo.

Wanajopo kama mnavofahamu kampeni za uchaguzi mdogo zinaendelea katika kata mbali mbali nchini, Jana kamanda wa anga,Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Mh Freeman Aekael Mbowe alizundua kampeni kata ya Saranga, Binafsi niliona mafuriko ya watu, watu bado wanaimani na UPINZANI,wanahitaji mabadiliko, wanahitaji kiongozi imara na Upinzani imara kuwapeleka katika mabadiliko ya kweli.

Mimi nikiwa mmoja wao niliyehamasika na kauli ya Mh Mbowe alipojitambulisha kama mwenyekiti wa UKAWA, Pia Niliona hamasa za watu Ulipojitambulisha kwa hilo, nilijiridhisha kuwa watu wanaimani na UKAWA, UKAWA AMBAO NI MIONGONI MWA SABABU WA CHAMA KILICHOSUKWA VYEMA NGAZI YA TAWI MPAKA TAIFA, HAPA NAIZUNGUMZIA CHAMA CHA WANANCHI – CUF KUINGIA KATIKA MGOGORO UNAITISHIA UHAI WAKE KUPITIA KWA ALIYEKUWA MWENYEKITI WAKE PROFESA IBRAHIM HARUNA LIPUMBA. LIPUMBA PAMOJA KUSUDIO LA KUIPOTEZA CUF LAKINI UKIMUANGALIA KWA JICHO LA UMAKINI UKILINGANISHA NA MWENENDO WA SIASA ZA MAGUFULI, UNAWEZA KUONA KWA UKARIBU SANA KUWA LIPUMBA ANATUMIKA KUANGAMIZA DEMOKRASIA , ANATUMIKA KUVIVUNJA VUNJA VYANA VYENYE NGUVU KAMA ALIVOTUMIKA MREMA KUIMALIZA NCCR MAGEUZI NA HATIMAE TLP Lakni hii haikuwa hoja yangu kwa mh mbowe.

Mh mbowe nimesoma gazeti la RAI la Trh 9 November 2017 lenyekichwa cha habari “UKAWA WAVURUGANA UCHAGUZI MADIWANI” katika gazeti hili kuna viongozi wawili waandamizi wa UKAWA, MMOJA kutoka CHADEMA ambaye ni mh salumu mwalimu na MWENGINE ni mh mbarala maharagande ni kutoka CUF Taasisi inayoamini katika UKAWA. Gazeti la Rai linawanakuu viongozi hawa wote wawili kuwa katika uchaguzi huu MDOGO kulikuwa na makubaliano.

Nanukuu ““Jambo pekee kwa sasa Chadema wamekataa kuheshimu makubaliano tuliyofanya ya kuachiana majimbo, hivyo busara za wananchi na viongozi wetu wa ngazi za chini wanaweza kuunganisha nguvu zao kwa mgombea na chama ambacho wataona kinafaa kuwawakilisha. Huu ndio msimamamo wetu,” alisema Maharagande.

Salimu Mwalimu, alikliambia RAI kuwa wao walikubali kuwapa CUF kata sita kati ya saba walizokuwa wameziomba na sio 11 kama anavyodai Maharagande.

Mh Mbowe ukiwa mwenyekiti imara unaeongoza umoja huu baada ya kukimbiwa na lipumba aliyeamua kuwa upande wa CCM , Pamoja na changamoto zote, mm kama mpenda mabadilko, Nafurahi sana ninapoona neno “ makubaliano” katika mazungumzo ya UKAWA lakini ninachojiuliza Mh mwenyekiti wa UKAWA, kwani kuna uzito gani katika kusimamia makubaliano? Mh mbowe umekubali Mweza wako (nakusudia CUF) apotezwe na wahujumu wa demokrasia,kina lipumba na kundi lake?

nimejuliza sana mh mbowe, katika kampeni hizi kungekuwa na Timu ambazo zimegawanyika katika maeneo tofauti ambapo ndani yake kungekuwa kuna CUF NA CHADEMA WANAOUNGA MKONO UKAWA, HIVI HALI YA WAPINZANI WA UKAWA,CCM NA KUNDI LA LIPUMBA INGEKUAJE? JE LIPUMBA ANGEWEZA KUISHINDA NGUVU YA MAALIM SEIF & MBOWE? Je heshima ya UKAWA ingepanda au ingeshuka?

Imani yangu kupitia muuganiko wa UKAWA,UKAWA ungeibuka na ushindi mkubwa, ungeleta matumaini makubwa kwa wapenda mabadiliko kuwa ccm iliyoishiwa pumzi mwaka 2020 inakwenda kukata roho.

Wananchi na wapenda mabadiliko hatuna tatizo katika kuindoa ccm , kwa tathimini yangu wapenda mabadiliko ni wengi sana, tatizo lililopo ni nyie waongoza mabadiliko bado hamjaamua kisawa sawa kutunganisha ili tuondoe huu mzimu unazima matumaini ya watanzania.

Ni hayo tu muheshimiwa mbowe, nikutakie safari njema katika mizunguko yako ya kampeni, ukifika huko mtwara wakumbushe sana wananchi, juu ya UMUHIMU wa kuunganisha nguvu katika kuikabili CCM.

Wassalaam.
Nabihu Tilala.
 
Simba Asiyefugika

Simba Asiyefugika

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2017
Messages
607
Likes
237
Points
60
Simba Asiyefugika

Simba Asiyefugika

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2017
607 237 60
UKAWA ilishajifia ndugu
 
A

artch2311

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2016
Messages
599
Likes
267
Points
80
Age
42
A

artch2311

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2016
599 267 80

We jamaaa una matatizo upstairs
Kwamba Mrema aliua upinzani na kuiua TLP...!?
kwani au NCCR ilikuwaje kabla ya kuingia Mrema
Kwamba Leo hii unajadili ukawa...
Ni nani Huyo mpumbavu ambaye bado anazungumzia Ukawa.
Jiulize Mbatia yuko wapi, Maalim Seif yuko wako, NLD iko wapi
In kweli ukawa.
Kuamini ukawa upo no sawa na kuamini upinzani utachukus nchi
 
N

Nabihu

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Messages
277
Likes
44
Points
45
N

Nabihu

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2012
277 44 45
We jamaaa una matatizo upstairs
Kwamba Mrema aliua upinzani na kuiua TLP...!?
kwani au NCCR ilikuwaje kabla ya kuingia Mrema
Kwamba Leo hii unajadili ukawa...
Ni nani Huyo mpumbavu ambaye bado anazungumzia Ukawa.
Jiulize Mbatia yuko wapi, Maalim Seif yuko wako, NLD iko wapi
In kweli ukawa.
Kuamini ukawa upo no sawa na kuamini upinzani utachukus nchi
Kila inapojadiliwa nguvu y upinzani lazima ccm povu liwatoke , unajisahaulisha ilipokuwa nccr, ilipokuwa TLP , Unatamani hilo litokee tena kwa CUf !!! Ninachomuomba mwisho mbowe awe kinara sahihi wa kusimamia mabadiliko asikubali wapuuzi km lipumba na kundi lake kuwatoa katk lengo.
 
Forum statistics

Threads 1,236,236
Members 475,029
Posts 29,250,891