Nilivochelewa kula tunda kipumbavu

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,020
2,157
Alikuwa ni mkubwa kiumri mpaka umbo. .lakini pia alikuwa ni best wangu wa ukweli. Kiasi kwamba ukiniuliza mimi kuwa yeye yupo wapi Na kujibu..na Yeye ukimuuliza kuhusu mimi anakujibu nipo sehemu fulani....mtaa mzima walijua ni demu wangu.... Na mashost zake walijua mi ndo shem Lao.. kumbe vikojoleo havijawahi kugusana hata one day...

Baadae nikapata story kuwa anatangaza kuwa mimi ni mpenzi wake

Nikawa napata pingamizi kwa mademu niliokuwa nawatokea kisa eti wanamuogopa wifi(yeye)...Dah

Nikaja kumgonga yule demu baadae sana tena akiwa ashazalishwa na WALIOWAHI KULA TUNDA KIMASIARA
 
Hahaha! Umenikumbusha miaka hiyooooo!

Mtaani kwetu kulikuwa na demu mzuri wa sura na umbo. Ila alikuwa anaogopwa kwa mdomo wake. Alikuwa anatukanana na watu wa kila aina. Kitu kilichopelekea kuogopwa kutongozwa.

Siku moja tuko na ndugu zangu 2 wakaniambia, kaka mrembo huyoo, mbona hasemeshwi? Nikawaambia Wee! We! Mnadhani mimi siogopi kuchambwa!? Basi walicheka ile mbaaya!

Siku moja nikamsemesha kimapenzi ila moyoni nina hofu na uoga; maana nilitarajia kutukanwa! Dah! Sikuamini mtoto alikuja kiulaini sana aisee! Akanambia hata yeye alikuwa ananipenda kitambo!
 

Mwenzako mwingine huyo msome kwenye hio link
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom