Niliupenda utaratibu wa Misa za kitaifa alizokuwa akishiriki hayati Magufuli kila Dominica

Nimeukumbuka tu ule utaratibu wa TBC kurusha mubashara misa alizokuwa anashiriki aliyekuwa Rais wa JMT hayati Magufuli.

Ulikuwa utaratibu mzuri sana maana waumini tulipata fursa ya kushiriki ibada na mkuu wa nchi kidigitali.

Hata Nyerere alifanya ibada za kitaifa pale St Joseph.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Nenda msikitini kwa sasa si ibada pia au ulitaka kumaanisha nini na Magufuli wako aliyekwishakufa?
 
Back
Top Bottom