Niliupenda utaratibu wa Misa za kitaifa alizokuwa akishiriki hayati Magufuli kila Dominica

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Nimeukumbuka tu ule utaratibu wa TBC kurusha mubashara misa alizokuwa anashiriki aliyekuwa Rais wa JMT hayati Magufuli.

Ulikuwa utaratibu mzuri sana maana waumini tulipata fursa ya kushiriki ibada na mkuu wa nchi kidigitali.

Hata Nyerere alifanya ibada za kitaifa pale St Joseph.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Watanzania wengi hamjui mnataka nini, wakati bora tu Mwendazake alivyokuwa anawaburuza.
 
Ilikuwa ni furaha mno alipokuwa akiketi katika kiti chake pale mbele,Waumini tulifurahia kusali kuimba kumuabudu Mungu kwa pamoja na kiongozi wetu mkuu wa nchi,Ilitupa hamasa na moyo wa uzalendo wa kuipenda na daima kuliombea taifa letu na hakika tulipata amani sana kuona kiongozi mkuu wa nchi anamtanguliza Mungu mbele tulijihisi amani mioyoni na tukaona tupo salama.Hakika Mungu ni mwema,Kila wakati.Jina lake lihimidiwe
 
Magufuli alikuwa ni dhalimu na mtenda maovu mkubwa ikiwemo mauaji na maovu yake yamewaumiza mamilioni ya Watanzania. Tumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kumnyakua. 🙏🏾
 
Astaghafirullah
 
Mapandre wengi wanafiki walifurahia!! MTU unakwenda kumuomba rehema Muumbaji wako unafanya kama mkutano wa sihasa, kanisa linajaa wana usalama mikamera kama yote!! Ndio ilikuwa kumtisha muumba!?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Magufuli alikuwa ni dhalimu na mtenda maovu mkubwa ikiwemo mauaji na maovu yake yamewaumiza mamilioni ya Watanzania. Tumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kumnyakua.
Huwezi kuwa kiongozi wa nchi bila kupoteza baadhi ya raia. Wewe tu Kuna raia zinakuwekea uzibe mpaka unarusha ngumi, fikiria kwa kiongozi inakuwaje?
 
Hivi Iblisi/Shetani a.k.a Lucifer akikaa kiti cha mbele pale St Peters akiimba na kuabudu asichokiamini utamsifia?
Yapi matendo yake ya kusifiwa ,je ni watu kubambikiwa kesi,maiti kwenye viroba,wizi wa bureau de change nk ?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Acha upumbavu wewe!!!! Ni kipengele kipi katika katiba kilichompa yule muuaji mamlaka ya kutoa uhai wa raia!? 😳😳😳😳 Kuwa Ikulu haina maana kuwa uko juu ya sheria hivyo kuanza kufanya mauaji ya raia vile utakavyo.

Huwezi kuwa kiongozi wa nchi bila kupoteza baadhi ya raia. Wewe tu Kuna raia zinakuwekea uzibe mpaka unarusha ngumi, fikiria kwa kiongozi inakuwaje?
 
Acha upumbavu wewe!!!! Ni kipengele kipi katika katiba kilichompa yule muuaji mamlaka ya kutoa uhai wa raia!? 😳😳😳😳 Kuwa Ikulu haina maana kuwa uko juu ya sheria hivyo kuanza kufanya mauaji ya raia vile utakavyo.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Magufuli alikuwa ni dhalimu na mtenda maovu mkubwa ikiwemo mauaji na maovu yake yamewaumiza mamilioni ya Watanzania. Tumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kumnyakua. 🙏🏾
MUNGU ahimidiwe sana kwa kumfyekelea mbali huyu muuwaji.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Narudia tena acha upumbavu wako kuwa Ikulu si ticket ya kupora raia, kuwabambikia kesi FEKI wasio na hatia au KUWAUA. Upumbavu wako ubebe peleka kwingine siyo humu.

Kwanza Mpumbavu ni wewe usiyeijua Dunia ya "plausible deniability". Unadhani nchi zinaongozwa kwa makaratasi, toa kamasi kwanza
 
Nimeukumbuka tu ule utaratibu wa TBC kurusha mubashara misa alizokuwa anashiriki aliyekuwa Rais wa JMT hayati Magufuli.

Ulikuwa utaratibu mzuri sana maana waumini tulipata fursa ya kushiriki ibada na mkuu wa nchi kidigitali.

Hata Nyerere alifanya ibada za kitaifa pale St Joseph.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Serikali haina dini, huo ndio msimamo unaofaa kwa Taifa letu. Hakuna kitu kama Ibada ya Kitaifa - lazima utaipendelea imani yako au utakuwa mnafiki.
 
Nimeukumbuka tu ule utaratibu wa TBC kurusha mubashara misa alizokuwa anashiriki aliyekuwa Rais wa JMT hayati Magufuli.

Ulikuwa utaratibu mzuri sana maana waumini tulipata fursa ya kushiriki ibada na mkuu wa nchi kidigitali.

Hata Nyerere alifanya ibada za kitaifa pale St Joseph.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Naona huo ni uchokozi. Kwa sasa hivi ungependa ibada hiyo ifanyike wapi?
 
Nimeukumbuka tu ule utaratibu wa TBC kurusha mubashara misa alizokuwa anashiriki aliyekuwa Rais wa JMT hayati Magufuli.

Ulikuwa utaratibu mzuri sana maana waumini tulipata fursa ya kushiriki ibada na mkuu wa nchi kidigitali.

Hata Nyerere alifanya ibada za kitaifa pale St Joseph.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Team worship imekula kwenu chief hawatambui mmepoteana.

Mtamkumbuka jiwe sana.
 
Magufuli alikuwa ni dhalimu na mtenda maovu mkubwa ikiwemo mauaji na maovu yake yamewaumiza mamilioni ya Watanzania. Tumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kumnyakua.
Bro wewe huna dhambi au hautakufa
 
Back
Top Bottom