Niliumia sana kuona Mzee P. Mayalla na Gwajima kugombea ubunge Jimbo Kawe mwaka 2020, niliumia sana nawaomba msirudie tena miaka mingine

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,368
Ingawa zimepita siku nyingi, ila kwa kuwa nimepata Tetesi ya kuwa aliyekuwa amepewa ubunge na mwendazake huyo Bwana Gwajima anajiuzulu Kesho Sina budi kuelezea Hali niliyokuwa nayo enzi za uchaguzi.

Nidikree interest,Mimi nimezaliwa mtaa wa makangira hapo Namanga, nimesoma chekechea hapo, shule ya msingi mbuyuni, walimu wangu kwa kupenda sifa nimtaje mwalimu Gunga, Mama Salma kikwete, Na Janet Magufuli, sekondari ni Azaboy na chuo ni hapo hapo mjini ila sikuwai kuishi hostel nilikuwa nikienda na kurudi.

Viwanja vya kuchezea vilikuwa maeneo ya msasani magunia,hostebay,Masaki na maeneo mengine ya watoto wazito.

Niseme kweli hata mapenZi Mimi nilijifunzia kwa akina dada waliokuwa wakijiuza pale Morogoro stoo walikuwa wakali kinoma.

Mahali nilipokulia Watoto wa Mzee kikwete ndo ilikuwa Kambi Yao ya kuchezea,histori hii nataka nioneshe yakuwa hata viongozi walio tuongoza hawakuwa watu wageni kwetu ila walikuwa ni washikaji sana Yani walikuwa ni wabunge Wana sanaaa hawakuwa na chembe hata moja ya USHAMBA.

Kimsingi kawe kuongozwa na mskuma, aise niyaache haya,

Mwaka 2010,nilikuwa wakala wa Tume ya uchaguzi nakumbuka Mimi nililala nje na boksi la kura pale Tirdo, kilichonisukuma kuomba ni kuwa na lengo la kusmamia na kuhakikisha Halima MDEEanashinda ubunge. Na niliona nikiwa wakala wa MDEE wangeweza kunizungua nikaona niombe tume, na nikapata kwa hiyo nilikuwa humo ndani kama agent wa Halima ila kupitia Tume, kipindi hicho alishinda aise. Maana yulijipanga vyemA.

Nashukuru baada ya kushinda alitupa ofa kubwa sanaaa MDEE alitualika Dodoma bungeni, na ninakumbuka alitupeleka 84 club sizani kama hicho kijiwe Bado kipo.

Ila alikuwa mbunge Fulani mjanja sanaaaa Halima sijui Nini kimekusibu ila wewe ulikuwa mgombea na mbunge wetu mjanja.

Kimsingi niliumia sanaaa pahala nilipozaliwa na kukulia kuja kupata wabunge ambao mimi waliniumiza sikuona kama ni wajanja wa kutawala maeneo ya msasani,Masaki na hostebay.

Naomba kesho Gwajima pamoja na P. Mayalla msije diriki gombea Tena ubunge Tena maeneo ya wazito rudini mkagonbee kwenu.
 
Ingawa zimepita siku nyingi, ila kwa kuwa nimepata Tetesi yakuwa aliyekuwa amepewa ubunge na mwendazake huyo Bwana Gwajima anajiuzuru Kesho Sina budi kuelezea Hali niliyokuwa nayo enzi za uchaguzi.

Nidikree interest,Mimi nimezaliwa mtaa wa makangira hapo Namanga, nimesoma chekechea hapo, shule ya msingi mbuyuni, walimu wangu kwa kupenda sifa nimtaje mwalimu Gunga, Mama Salma kikwete, Na Janet Magufuli, sekondari ni Azaboy na chuo ni hapo hapo mjini ila sikuwai kuishi hostel nilikuwa nikienda na kurudi.

Viwanja vya kuchezea vilikuwa maeneo ya msasani magunia,hostebay,Masaki na maeneo mengine ya watoto wazito.

Niseme kweli hata mapenZi Mimi nilijifunzia kwa akina dada waliokuwa wakijiuza pale Morogoro stoo walikuwa wakali kinoma.

Mahali nilipokulia Watoto wa Mzee kikwete ndo ilikuwa Kambi Yao ya kuchezea,histori hii nataka nioneshe yakuwa hata viongozi walio tuongoza hawakuwa watu wageni kwetu ila walikuwa ni washikaji sana Yani walikuwa ni wabunge Wana sanaaa hawakuwa na chembe hata moja ya USHAMBA.

Kimsingi kawe kuongozwa na mskuma, aise niyaache haya,

Mwaka 2010,nilikuwa wakala wa Tume ya uchaguzi nakumbuka Mimi nililala nje na boksi la kura pale Tirdo, kilichonisukuma kuomba ni kuwa na lengo la kusmamia na kuhakikisha Halima MDEEanashinda ubunge. Na niliona nikiwa wakala wa MDEE wangeweza kunizungua nikaona niombe tume, na nikapata kwa hiyo nilikuwa humo ndani kama agent wa Halima ila kupitia Tume, kipindi hicho alishinda aise. Maana yulijipanga vyemA.

Nashukuru baada ya kushinda alitupa ofa kubwa sanaaa MDEE alitualika Dodoma bungeni, na ninakumbuka alitupeleka 84 club sizani kama hicho kijiwe Bado kipo.

Ila alikuwa mbunge Fulani mjanja sanaaaa Halima sijui Nini kimekusibu ila wewe ulikuwa mgombea na mbunge wetu mjanja.

Kimsingi niliumia sanaaa pahala nilipozaliwa na kukulia kuja kupata wabunge ambao mimi waliniumiza sikuona kama ni wajanja wa kutawala maeneo ya msasani,Masaki na hostebay.

Naomba kesho Gwajima pamoja na P. Mayalla msije diriki gombea Tena ubunge Tena maeneo ya wazito rudini mkagonbee kwenu.
"hostebay" ni wapi huko Dar!!??
 
Back
Top Bottom