Nilitemwa uspika kwa hila.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilitemwa uspika kwa hila....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by urasa, Dec 20, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aliyekuwa spika wa bunge lililopita mh samwel sitta amedai yeye kukosa nafasi ya uspika ni hila za mahasimu wake wa kisiasa na wale wasiolitakia mema taifa hili,pia amelihusisha jambo hilo na harakati za urais 2015

  my take:
  Namuomba sana naye adandie hoja ya katiba mpya kama wanavyofanya wenzake wa chama chake kwa sasa ili kukabiliana na hao mahasimu wake wanaoutaka urais 2015
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ushauri mzuri huyu mzee inabidi aufuate!
   
 3. A

  August JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  kapata nguvu za wikiliki?
   
Loading...