Nilitegua kitendawili cha Kifo baada ya kupata ajali ya kugonga kundi la Tembo na pikipiki

Ukifa hujui lolote

Wachungaj na manabii hapo dar wakiumwa tu, malaria wanakimbilia Ulaya, kutibiwa

Kama ukifa unaenda mbingun kwann wakiumwa wasitulie tu wafe waende mbinguni?


Wewe mtoa mada kwanini USINYWE SUMU UFE uende huko mbinguni?

Achen kudanganywa, BIBLIA IPO wazi, mtu akifa. Hajui kitu,
5 kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
Mhubiri 9 :5
 
huyu jamaa ni muongo sana, kuwa mstaarabu mkuu huu uzi hautufai great thinkers
 
h
u

umepata ajali mchana ila umeokotwa saa mbili asubuhi ,halafu umekaa hospitali mpaka umepona ukakumbuka laptop eti ukaifata eneo la tukio baada ya kupona .ukaikuta imepaa imejitundika juu ya mti .
Hiyo ya laptop kutundikwa juu pasipo kuloa maji huku mvua nyingi ndiyo imeniacha hoi. Nikajua kumbe ni hadithi. Wanasema watu "Ni nzuri zaidi ya ukweli halisi." Kama zile za Holywood.
 
Of course Maisha huendelea baada ya kifo cha huu mwili wa kawaida

Naona kuna watu wanasema ni story mi naamini Mungu hujionyesha in mysterious ways.
 
Inamaanisha kila anayekufa anaenda mbinguni?maana ume conclude kuwa ndo maana wanaokufa huwa hawarudi sababu kule ni kuzuri. Sijui. Nachelea kusema kuwa ni kweli au si kweli. Naamini.umewasilisha...suala la mtu kuamini si juu yako...
 
Ingawa sijasoma story nimesoma heading pekee....

How do you know the Unknown without knowing....

Unajuaje kama unachokijua ndicho ?, Nadhani jibu ni Imani (Chochote unachokiamini wewe ndicho kilicho sawa kulingana na Imani yako wewe) ingawa kuna possibility kubwa kwamba sicho......
 
Back
Top Bottom