Tushauriane wale tulioguswa na usisitwizwaji wa sadaka katika wakati huu mgumu , mi nilijua wangenipiga maombi mambo yanyooke ila ndo wanazitaka hata hizi ndogo ninazopata
Unafikiri mafita na pesa za burudani watatoa wapi? Tena ujue na wao vyuma vimekaza. Toa sadaka Mkuu watumishi wale burudani.
Huwezi kuvuna kama hujaotesha nà kutunza dem----------t
Niko kidato cha kwanza nimeingia kanisa la mchungaji Swai (Kwaya ya hilo kanisa iliimba wimbo maarufu wa kwanini unataka kujiua) mara mchungaji anadai hakubaliani na wanaotoa sadaka 500, inabidi watoe zaidi.
Nikakusanya kilicho changu sikurudi tena kanisani, sikuja kuanzisha uzi jf
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.