jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Ni aibu iliyokithiri kuona baadhi ya wabunge wakiwa wakali sana kwenye kuongelea uingizwaji wa mafuta as if ni jambo la kujivunia.
Hivi ni kweli Tanzania haijajaaliwa kuwa na mafuta ya kula yanayotosheleza kulisha Tanzania na East Afrika?
Ni lini tutaacha kuingiza mafuta kutoka nje na kuanza kutumia mafuta kutoka SINGIDA?
Kwa nini Wabunge wasijadili kuongezwa kwa idadi ya viwanda vya mafuta ya kupikia (kwa hati ya dharura) ili tusolve tatizo?
Je kiwanda cha kukamua alizeti na kupata mafuta kinagharimu shilingi ngapi na chemistry ya namna gani?
Kwa nini fedha/dola inayotumika kununua mafuta ya kupikia isiende Singida/Kongwa au Zanzibar ?
Je wabunge wanaotetea uingizwaji wa mafuta kiholela kwa kisingizio cha uhaba wa mafuta wana maslahi gani kwenye biashara ya hayo mafuta?Je wanawasemea wananchi au Biashara zao?