Nilitegemea hotuba za wastaafu zijikite kujisahihisha kwa nini waliua na kugawa kwa wahindi TTCL, ATCL, NBC, TRL, watueleze kiini cha ESCROW, KAGODA

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Wastaafu wanaposimama wasitueleze mambo mepesi mepesi ya kitoto kama historia ya nyerere hata kwenye vitabu waeleze makaripio ya Nyerere kuhusu Rushwa waeleze kiini cha mikataba ya kimangugo kwenye mashirika na rasilimali za nchi yetu watueleze ACCACIA ni nani na nan alinufaika na ACCACIA
 
Jiwe kaguswa, nyumba ndogo zake zote zimejitokeza huko zilipokuwa.
 
Wastaafu wanaposimama wasitueleze mambo mepesi mepesi ya kitoto kama historia ya nyerere hata kwenye vitabu waeleze makaripio ya Nyerere kuhusu Rushwa waeleze kiini cha mikataba ya kimangugo kwenye mashirika na rasilimali za nchi yetu watueleze ACCACIA ni nani na nan alinufaika na ACCACIA
Umoja huvunjika pale wananchi wanapoona mgawanyo usio sawa wa keki ya Taifa
 
Wastaafu wanaposimama wasitueleze mambo mepesi mepesi ya kitoto kama historia ya nyerere hata kwenye vitabu waeleze makaripio ya Nyerere kuhusu Rushwa waeleze kiini cha mikataba ya kimangugo kwenye mashirika na rasilimali za nchi yetu watueleze ACCACIA ni nani na nan alinufaika na ACCACIA
Tatizo ni KATIBU.

Kama huwezi vitendo..Punguza Maneno.

“Kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi. Kujimwambafy hakukufanyi uwe kiongozi zaidi.” - mkikwete.
 
mh,,kwani ile warsha si ilihusu mwalimu nyerere na legacy zake,mojawapo ya legacy za nyerere hawakuwa na makuu ya kujiona yeye ni wa maana sana,na tunatakiwa sisi kumuiga mwalimu na kuyaishi maisha yake,,,
 
Huyu JK tumzibue na uswahili wake,uko sawa mno,anafikiri hizi ni zama za kukenua meno
Wastaafu wanaposimama wasitueleze mambo mepesi mepesi ya kitoto kama historia ya nyerere hata kwenye vitabu waeleze makaripio ya Nyerere kuhusu Rushwa waeleze kiini cha mikataba ya kimangugo kwenye mashirika na rasilimali za nchi yetu watueleze ACCACIA ni nani na nan alinufaika na ACCACIA
 
No wonder ilibidi sheria zisiginwe kukataza watu kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa.
Mnataka kusifiwa tu. Kitu kidogo povuuuu.
Hata hivyo kwenye kujimwambafy wameaswa viongozi wote kwa ujumla. Hajawa targeted au tajwa mtu?. Why the dramas?.
Mtu wenu anajitweza?. Mkanyeni basi.
 
Kagoda + Escrow + zingine hazifikii ile ya 1.5 Trilioni. Hata nusu haifiki, na ndani ya mwaka wa kwanza tu wa bajeti. Unaongea vitu gani wewe
 
Kijana mzalendo wa tumbo na mpiga magoti alitaka aambiwe kuwa unaemuabudu ni FISADI na LIJIZI linatabia ya kuramba kodi zetu.
Limekura bil6 kati ya bil8 za kivuko kibovu, ndio maana halikushindwa kuramba 1,5 trillion likiwa IKULU
 
Wastaafu wanaposimama wasitueleze mambo mepesi mepesi ya kitoto kama historia ya nyerere hata kwenye vitabu waeleze makaripio ya Nyerere kuhusu Rushwa waeleze kiini cha mikataba ya kimangugo kwenye mashirika na rasilimali za nchi yetu watueleze ACCACIA ni nani na nan alinufaika na ACCACIA
Nao wanatafuta vyepesi vya kuongea.
 
Badala ya kujikita kwenye hoja fikirishi na nzito wao wanazama kwenye unyenyekevu na kujishusha!.

Wanazama kwenye mipasho ya kwenye kanga badala ya kuongea vitu vya kizalendo, Nyerere alikuwa mnyenyekevu lakini alijaliwa uwezo wa kuwa na msimamo thabiti usiyoyumbishwa.

Nyerere alikuwa anapenda kusikiliza ujenzi wa hoja zenye mantiki, lakini hakukubaliana na majungu ya makundi ndani ya chama.

Nyerere kama akiinuka leo kutoka kaburini atakaowashangaa ni wengi tu ambao wamo ndani ya ukumbi na kujadili mchango wake kwa taifa hili.
 
Wastaafu wanaposimama wasitueleze mambo mepesi mepesi ya kitoto kama historia ya nyerere hata kwenye vitabu waeleze makaripio ya Nyerere kuhusu Rushwa waeleze kiini cha mikataba ya kimangugo kwenye mashirika na rasilimali za nchi yetu watueleze ACCACIA ni nani na nan alinufaika na ACCACIA
Tulia mkuu mawazo hayapigwi rungu...ukizungumza wewe mbona tutakuelewa tu. usijipe oresha ya bure
 
Back
Top Bottom