Nilitapeliwa mwaka 2015 humu JF na kijana anaitwa Edwin. Nitaandika kwa urefu hivi karibuni

George786

Member
Feb 8, 2019
53
95
Leo sitokuwa na mengi,ila nitaandika kwa kirefu sana soon,baada ya kutumia njia za kijamaa kuweza kupata haki yangu kushindikana,ila EDWIN EMMANUEL KASELLA kama upo humu na unasoma hii,elewa haki yangu au jasho langu halitoenda bure,litapatikana tu haijalishi lini,nakuja tanzania hivi karibuni na haki yangu utaitoa kwa njia yoyote,Nina ushahidi wa kila kitu tangu tunaanza kuwasiliana hapa mpaka tunahamia mwenye emails na then WhatsApp
 
Back
Top Bottom