Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

chezea toto la singida mixer na unyamwezi wa sikonge? mi nilipata toto shombe shombe la kiarabu hatarrriiii mkuu huyo wako hamfikii wa kwangu, yeye alikua mixer mnyramba na mnyamwezi mwarabu tobaaaa kidogo niache shuleeee

Shukuru Mungu,saiv ungekuwa unauza mahindi ya kuchoma stand au kupalilia minazi wala JF usingeifahamu!
 
Mkuu CHAI CHUNGU wahusika wakuu katika hadithi yako ni John (mtoto), John(Masigiti), Witness(mama John na pia ni mke wa Masigiti) pamoja na wewe! Tupe na wewe jina lako mkuu! Hatulitaki la Chai Chungu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Duuu kamanda umetushika mbaya hata kama ni barua za onyo kwa leo ni haki bin haki watu kazi hatufanyi kisa mjeda ooh ! maana watu wametoa mimacho wansubiri hawapunguwi kwa thread hapa iko hela twenda pm tuangalie uwezekano wa kupublish hiki kitabu.
 
There are currently 511 users browsing this thread. (116 members and 395 guests), haki ya nani nikiwemo mimi Zogwale. Chai Chungu umetukamata leo!!
 
thank you for nice story, now peleka bongo movie waigize kama ilivyo watenjoy sana na hii stoy
 
31:Alikiri kwamba mtoto ni wa MASIGITI(JOHN MANYAMA)na anampenda sana mumewe,na akaahidi kunirudishia gharama zangu zote nilizozitumia kwake.

Nilimjibu kwamba ssitaji anirudishie chochote.
Tulianza safari ya kurudi mjini huku kichwani nikiwaza namna ya kuieleza jamii ili inielewe.

Baada ya kufika mjini my best aliamua kuondoka siku hiyo hiyo kwenda Nzega ili kesho yake apande basi kurudi SINGIDA,aliniahidi kwamba tungewasiliana baada ya yeye kufika.

Baada ya kama siku4 alinitumia simu ya maandishi kwamba alifika salama na wanaendelea na maisha vema.

NOTE:sitaweza kusema kilicho mkimbiza jeshi maana ni mambo ya ndani zaisi.


Ilipita wiki ikaja mwezi,mara mwaka,na kila siku nilikua nikiwaza ni vipi ntamwambia my mama na ndugu zangu juu ya mkasa huu?maana my mama aliniambia si mwanangu mie nikambishia tena kwa maneno makali,sasa yamenikuta mwanaume.

Ilipita miaka kama miwili hivi bila mawasiliano na my best friend,nilijaribu kufanya mawasiliano nae lakini bado hakupatika.
Nilichukua jukumu la kumtafuta lakini bado sikumpata,nilifunga safari mpaka SINGIDA,lakini jibu nililopewa ni kwamba mr MASIGITI(John Manyama)alishaa acha kazi kitambo na akabeba familia yake akahamia Ukerewe,nilitaka kujua sababu za kuacha kazi wakasema alikua hajaajiriwa na tulipo mwambia alete vyeti vya shule ndio ikawa jumla hakuonekana tena.Hii iliniangia akilini maana pia nilikua najua hakua na taaluma hiyo.

Nilijaribu kuomba contact zake lakini wakasema hawana na ata mkewe wakati anashughulikia uhamisho wa kwenda ukerewe hakutuachia address yoyote.

Miaka ilizidi kupita bila kuonana na my friend huyu kipenzi.
Pia nilizidi kuumia kuhusu familia yangu maana tayari taarifa zilishafika kijijini kwetu na hii ilisababisha nishindwe kwenda kijijini.

Baada ya miaka michache mbele bila kumuona my best na huku nikiwa nasumbuliwa na msongo wa mawazo nilianza kukata tamaa ya kuendelea na kazi.Nilikua nikiwachukia wanawake na wala nilikua sina huruma nao,nilianza "kuwagonga" bila huruma aise huku niingia kwenye ulevi wa pombe wakati tangu kuzaliwa nilikua sijawahi kunywa pombe.Bangi ndio ilikua sigara yangu na nilikua sioni shida kuivuta popote.

Nakumbuka siku 1 usiku nikiwa mitaa ya Ali Hasani Mwinyi kwenye kijiwe changu tukivuta bangi walitokea police kwa lengo la kutukamata,kwa wanao kumbuka tukio hili watathibitisha maana zilitembea ngumi ambazo sijawahi ona..Baada ya tif kuzidi niliamua kuchomoka mpaka camp nikiacha jamaa zangu wakishughulikiwa(walikua raia na hawakujua kama mm nilikua askari)
Ilivyofika asbh nilijawa na mawazo kichwani juu ya maisha ninayoishi,nilipiga hesabu ili kujua nimevuna nini kwa miaka 8 jeshini?nikaona hakuna cha maana zaidi ya mademu,nikaona sasa napotea...

Nilikua sina hamu na kazi tena na sasa nikaonekana ni mtovu wa nidhamu jeshini.

Niliwahi kushughulikiwa na ma MP lakini ilishindikana.

Sasa nikaona bora niache kazi niende migodini kutafuta mali...................
now you sound like a man,
a real soldier....
 
Usijali mtu wangu..mie ntakustua...nikuweekee na siti kabisa?
Halaf ujue kuna hapa ndani hata bosi wako naye yupo..
Ukija njoo na viroba aisee.. naona King'asti kaamua kuwa mamantilie hapa, ntakula ugali dagaa mie!
mambo gani ya kuchomeshana mahindi!

We acha tu! Kweli boss anaweza kuwemo hapa! Hebu ona SnowBall ........ There are currently 512 users browsing this thread. (114 members and 398 guests)

Niwekee tu hiyo siti ntaleta viroba! Mchana nilikuwa sina mpango wa kuagiza chakula kwa King'asti lakini sasa njaa imenizidia! King'asti naomba uji wa mchele please maana muda huu ugali haupandi!
 
Nilisema sitobanduka mpaka nione mwisho wake..Kuanzia jana kidume nimeganda hapa kama nimewekewa super glue..
 
Back
Top Bottom