Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,869
- 16,916
Maana yake nini ninapotamka kauli hiyo? Wanaponisikia walimu wanasemaje? Na niny mliosoma miaka hii mnajisikiaje?
Ni kweli. Miaka hiyo walimu walikuwa timamu.kwa maadili na elimu. Walijibiidisha kusoma. Walikuwa na maadili na walipenda kazi yao. Miaka hiyo tunasoma kweli kweli. Na tulikuwa na akili. Kulikuwa hakuna kununua mitihan au kufanyiwa
Tulikuwa na uelewa mkubwa. Mwanafunzi anajua nchi na miji mikuu yote, anajua marais wa nchi mbalimbali, anajua mito na maziwa ya nchi husika. Tulijua kilimo cha miwa, kilimo cha mpunga, kilimo cha mahindi.
Tulijifunza misimu ya mwaka na mazao ya msimu. Siyo sasa .nyie acheni sisi tulisoma zaman hizo.