Nilishangaa kuona mtoto wa kizungu anamtuma baba yake dukani

Unajua kuna mtu malezi aliopata yeye yanamwadhiri mpaka kichwa chake anajua ndiyo malezi yenyewe,
sasa hapo kulea mwanaye mpaka awe na akili za nyongeza, mwenza sasa inabidi kukaa naye chini kwa upole.

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Kijana sasa hili ni dongo unajaribu kulirusha kwa Infantry Soldier mimi simo wala sitii tena neno hahahaaaaa
 
Amwambie mama wa kibongo sasa utaskia " We mtoto nilikuweka miezi 9 tumboni huwezi kunituma kama kijakaz wako"
 
Sisi wa africa ni civilized sio km wazungu. ss tunajali morals na ethics
Unajali morals and ethics, that is to your culture and standards. Na wao wanazo zao, tena wanajivunia. Kipende chako, lakini usikifanye kuwa universal. Ustaarabu una tafsiri tofauti kwa kila jamii, japo tuendako kwa muingiliano wa mataifa uliopo, mila, tamaduni na desturi nazo zitajumuika.
 
Back
Top Bottom