Nilipoona Mama Samia anafanya mazungumzo na Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu Prof Luoga nikajua hakuna nyongeza

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
DK Philip Mpango ndio kila kitu juu ya matumizi na mapato ya pesa za umma kuanzia awamu ya tano ilivyoingia na sasa awamu ya sita.

Japokuwa tupo awamu ya sita lakini ni kama tupo awamu ya tano ya JPM. Maana huyu Dk Mpango ndie aliengineer kila kitu juu ya kuweka pesa zote hazina na kubana matumizi yasiyo na tija kiasi cha uchumi kusinyaa.

Leo hii sekta binafsi zimekufa sababu ya kuzuiwa kufanya biashara na serikali. Na mimi nilipoona tu kuna mkutano kati ya Mama Samia,Dk Mpango na Prof Luoga nilijua hapa kutakuwa na noma.
image_search_1619898678778.jpg
 
Hiyo mimba uliyodungwa huko chato itakutoa roho.

Mama Samia alikuwa makamu wa rais wa Magufuli ,hivi haujui kazi za makamu wa rais?
 
DK Philip Mpango ndio kila kitu juu ya matumizi na mapato ya pesa za umma kuanzia awamu ya tano ilivyoingia na sasa awamu ya sita...
Mpango aliletwa na Jakaya toka bank ya dunia,akamtumia ,kisha Magufuli naye akamuona ,ni mzuri sana tatizo mnapenda kitonga sana
 
Tuongeze wigo kodi ndio mama ataweza kuongeza hizo 400bil mwezi ...kwa sasa hataweza
 
Back
Top Bottom