Nilipomtajia Mjapani jina langu akacheka kisha akasema, ''it is nice name''

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Leo nimejua sababu ya yule Mjapani kucheka baada ya kumwambia jina langu. Hii ni baada ya juhudi nilizofanya za kutafuta sababu kupitia mtandaoni kwani nilidhani labda jina langu ni tusi kwao kama wao ambavyo majina yao hapa kwetu yanavyoletaga utata, kumbe.

Pumbavu kabisa.

Japanese women go ape over 'handsome' gorilla named Shabani

upload_2016-10-19_16-30-57.png

upload_2016-10-19_16-31-9.png
 
Nasikia nyerere alimkataaga Baloz wao kwasabab jina lake lilikuwa na ukakas jamaa jina lake lilikuwa qumermoto tombambele. Nyerere naskia alimaindi kichizy akasema this is bulshit nakukataa hati yake ya utambulisho na kumtimua faster
 
Nasikia nyerere alimkataaga Baloz wao kwasabab jina lake lilikuwa na ukakas jamaa jina lake lilikuwa qumermoto tombambele. Nyerere naskia akasema this is bulshit kukataa hati yake ya utambulisho na kumtimua faster
juzi kati hapa nadhani balozi wa ama malawi au msumbiji nae kulikuwa na ukakasi
 
Nasikia nyerere alimkataaga Baloz wao kwasabab jina lake lilikuwa na ukakas jamaa jina lake lilikuwa qumermoto tombambele. Nyerere naskia akasema this is bulshit kukataa hati yake ya utambulisho na kumtimua faster
Hahaaa hii chai imezidi viungo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom