Nilipokuwa Vakesheni hili lilinikwaza

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Sijui ni uchakachuaji au kweli jamaa kapita hapa

big-foot-steve.jpg
 
Beach za wenzetu balaa...kuna vitrekta vya kufagia uchafu kila dakika...mchanga kama sukari
 
sharubu za rafikiyo....ka brash lililoisha...khaaa

Hujamwona mkewe....ndiye aliyetuunganisha mimi nilikonsetreti zaidi na waifu wake...lenyewe mawiski 24 hrs mke anakunywa Dr.Pepper tu....huyu hapa...Mmarangu

4452451715_5bf70543c7.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom