Nilipo hatarisha Uhai wangu na Boss kuamua kuniadhibu Baada ya Kugundua Nimetembea na MKE wake

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Mwezi wa pili sasa sipo kazini. Boss wangu kanifukuza kazi alipogundua namgegeda mke wake.ilianza kama masikhara siku moja kwenye sherehe ya ofisi akaja na mkewe.

Basi Boss kwa kuniamini akaamua kunikabidhi mkewe ili niwe nampa kampani vijana wasimsumbue kwa kuwa tulikutanika watu toka matawi mbalimbali. Yeye alikuwa busy high table.

Basi yule mke akawa amekunywa pombe na katika kulewa akaonekana ana hamu sana na kugegedwa kutokana na stories zake na nguvu ya pombe basi tukawa tunapiga stories mpaka zikaingia hizo za sex.

Kumbe mke wa boss alishajua boss anatembea na bint mmoja pale ofisini.na alimwona yule bint...akajenga ukaribu na mimi.akaomba namba ya simu.

Tukachat chat kama week mbili.siku moja boss kasafiri mke wa boss akanambia anataka aje ghetto ni mgegede. Mi nikaona hili si ndo zari la mentali. Nikamwelekeza. Akaja home...

Nlimchapa nao kuanzia saa tano mpaka saa 12 yupo hoi. Hawezi hata kusimama dk 5 kachoka katepeta kinyama. Basi ikawa mchezo kila mara.boss akaja akagundua nikajengewa zengwe nikafukuzwa kazi.sijali wala nini nmefaidi sana mke wa boss ni mtamu acha kabisa.

Sasa nmemwambia siwezi endelea kumgegeda. Mke wa boss anataka kujiua nambie nifanye nini ndugu zanguni?



Hizi ndizo aina ya threads wana JF wanapenda. Ukiandika Thread ya kuonesha una mafanikio wanakasirika sana. Watataka uoneshe ulivyo navyo.

Ila hapa hawatataka nimwoneshe huyo mke wa boss nikiwa namgegeda. Ndo utakaposhangaa. Na hutaona wakija wadada wakisema " nigegede na mimi basi" au wakaka wakitaka nao uwagegede au uoneshe unavyogegeda.

Ukiandika una endesha RR, Be With Me (BMW) Benz au Ford Ranger... Watakushukia sana kwa maneno na matusi. Watakuja wengine wakitaka uwatumie pesa n.k

Ila ukisema ulikuwa unaendesha passo watafurah na kusema kigari gani hicho... Yaani watanzania wanawachukia wenye pesa na kuwapenda kinafiki maskini. Sijui kwa nini? Nchi za nje sijaona hii tabia.
 
mtu mwenye pesa hana muda wa kuandika upuuzi jf,,,,,
anaongeza connection tu jf..........
wala hana muda wa kujali kama wana jf wanajua pesa zake....
Kapata kazi kampuny nyingine
 
Vipi mkuu ulifanikiwa kumtafuna yule traffic,?

Kama teyar naomba namba zake nami nijipigie mkuu

Na pia nitamuuliza kama alipokea ile business card uliyo mpa Kama unavyo dai wewe

Maisha ya jf jamani raha Sana Kama peponi
 
Back
Top Bottom