Nilipewa onyo kistaarabu baada ya kutembea na mbunge kijana mrembo chakula cha mtu mkubwa

..nikafungua bonet na kuangalia kweli battery ilikuwa imenyonya kabisa. nikarudi kwenye gari nligudungua kuwa alicha headlights on..

Shangingi la mbunge unalijua limekaaje wewe?? Ukiacha headlights on inatoa milio ya kuudhi huwezi kufunga mlango bila kuzima. Halafu cha ajabu mbunge atasahau vp headlights usiku kucha ina maana hiyo nyumba haina mlinzi au majirani??
Grow the f*** UP
 
We ni mmoja ya watu wapumbavu wanaonadhan wanajua kumbe wanaungua na jua. Umekariri kuwa wabunge lazima watumie shangingi? Hii mijitu aina yako huu ushamba bado mnao tu? Nyie ndo zaman tulikuwa tunawaita makubwa jinga. Hujui kuna mpaka wabunge wanatembelea Rav 4. Ukikaa kijijini kwenu ukisikia mbunge unawaza "shangingi" neno la zamani sana. Siku hizi haya sisi wa mjini tunayaita kilimo kwanza. Unayafaham?ficha upumbavu wako...usiuanike hadharani kana kwamba ni kitu cha kujivunia.

Back
Top Bottom