Nilipata matokeo mabaya Kidato cha Nne. Nataka kurudia

Yuuuuu

Member
May 15, 2020
14
8
Naombeni ushauri please mimi ni nilimaliza elimu yangu ya Form Four nikiwa namatokeo mabaya. Sasa nataman kurisit (kurudia masomo) masomo ya biashara nilisit masomo mangapi?
 
Kulisiti c inategemea na ww mfano umesoma masomo ya biashara hayo c bookiping na commerce na masomo mengine ma5 kama labda Mathe,English, Kiswahili, History,Geog.

Lisiti hayo saba ila kazania sana iyo bookiping na commerce upate japo C au D mana ukiweza kupata D4 nenda kasome certificate ya chuo masomo ya biashara vyuo vipo vingi mno CBE kwa uko Dar IFM,TIA uwo ndo ushauri wangu

By the way mm nimeishia la saba tuu...

121.
 
Kulisiti c inategemea na ww mfano umesoma masomo ya biashara hayo c bookiping na commerce na masomo mengine ma5 kama labda Mathe,English,...

Kuishia la saba haina maana ndo hautakuwa na ushaur mzuri yan b/k na commerce nlisoma form two then nkachukua mchepuo wa sayansi hayo masomo nataka niyaanze kwenye ndoto zangu za kurisit


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Skia ww soma tuu masomo 7 then tafuta D 4 arafu ukizipata izo d 4 nenda chuo kizuri cha biadhsra usome nakushauri nenda IFM au TIA utanza kwa ngazi ya chini kabisa mpaka kuja kupata Degree...
 
Aina haja ya ww kulisiti mpaka usome ayo masomo ww somw tu masomo 7 hakikisha katika hayo masomo saba upate D4 bac utasoma mpaka degree...

121.
 
Back
Top Bottom