nanabooty
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 420
- 632
HahaaaaaHiyo ya kwanza ni chama tawala kinavyowarubuni watanganyika kwenye chaguzi, ulivyokifukuza na kukatia tamaa njiani inaonyesha tabia ya watanganyika kujifanya wanakichukia sana ilhali kila uchaguzi ukifika kinarudi tena( hapa inaungia ndoto ya pili), kitendo cha kumpa kitabu(maarifa) inaonesha ujinga ulivyo mtaji kwa wanasiasa so ulimkabidhi ufahamu. Hiyo picha ya mtu ni watz, mmea wa kijani ni wakulima ambao wamenyang'anywa elimu na kimtu cha kijani hivyo jikaze kuichagua tena mwakani maana hamna namna. Natania tu kisiasa
kote hakufai
Sent using Jamii Forums mobile app