Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Kwa hisani ya Kwinyara Kwinyara
Niliomba sana tusifike huku. Tatizo Ubishi na ushabiki vikatuponza. Nawaonea huruma sana Watanzania wenzangu (wenye maambukizi) ambao dawa hizi zimekua msaada mkubwa kwao. Kuna watu bila hizi dawa wasingekua na pumzi leo hii, lakini Mungu aliwapa tena tumaini la kuishi kwa kutumia hizi dawa. Nina UHAKIKA serikali haiwezi kununua (100% sure). Watatumia stock iliyopo halafu wataanza longolongo na kuagiza dawa chini ya mahitaji. Just wait and see the impacts in few months ahead. Sijui ndugu zetu hawa watakua wageni wa nani? Siasa zinazidi kuteketeza maisha ya watanzania.!