Niliomba kazi PCI Musoma mwaka jana mwishoni Je Wameita waombaji?

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,985
2,770
Habari ndugu zangu Job seekers. Nakaribia kupata Uchizi kwa kukosa Ajira. Nimeomba taasisi zote zilizotaka watumishi wapya : TARURA, TANAPA, PCI, Brighter Monday, American Embassy, TANESCO hadi leo sijajibiwa. Tafadhali naomba mwenye kuitwa kwenye usaili anijuze kwa kuwa sifa ninazo na barua niliandika vizuri. Bora Utumishi nafasi hata kama moja waombaji wote huitwa wakajinoe au kushindwa mbele ya Safari.
 
Ukiona Tangazo kwenye hiyo website usiombee hapo hapo kwenye APPLY NOW wazinguaji hao wakenya njia nzuri kutuma kwa kutumia email ya kampuni husika,Post office box au hand delivery inategemea na maelekezo ya hilo Tangazo mkuu.

-Pia ukiona Tangazo lifatilie kwenye website husika ya Kampuni kwa kujiridhisha japo kampuni nyingine huwa haziweki au kwa kupitia Blogs na Websites za matangazo mbali mbali makini kama Ajira yako,Ajira zetu,Vijana Jobs,Mkaguzi,Mabumbe na nyinginezo kaa mbali na zoom na hao Brighter monday matapeli wamejaa huko japo ya Matangazo ya ukweli yapo pia,sasa mkuu mpaka TARURA,TANAPA na TANESCO una Apply kupitia BM(Brighter Monday) dah wakati huwa wanawekaga Portal zao na Masunduku yao ya Posta na kila lenye kuhusiana na jisni ya kuomba kuwa serious Ajira ni ngumu ila umefanya makosa ya kizembe pia.Kila la kheri
 
PCI wali nijibu kua sija fanikiwa... Japo na wao nime waomba kazi mara kibao hawa jamaa.. Dah! Sijui shida huwa iko wapi... Tatizo ni umri wana hisi siwezi kumudu majukumu au shida nini...
 
PCI wali nijibu kua sija fanikiwa... Japo na wao nime waomba kazi mara kibao hawa jamaa.. Dah! Sijui shida huwa iko wapi... Tatizo ni umri wana hisi siwezi kumudu majukumu au shida nini...
hao jamaa nadhani wana ukiritimba fulani nilishaomba kazi mara kibao ila hakuna kitu
 
Habari ndugu zangu Job seekers. Nakaribia kupata Uchizi kwa kukosa Ajira. Nimeomba taasisi zote zilizotaka watumishi wapya : TARURA, TANAPA, PCI, Brighter Monday, American Embassy, TANESCO hadi leo sijajibiwa. Tafadhali naomba mwenye kuitwa kwenye usaili anijuze kwa kuwa sifa ninazo na barua niliandika vizuri. Bora Utumishi nafasi hata kama moja waombaji wote huitwa wakajinoe au kushindwa mbele ya Safari.
PCI wametangaza tena hizo nafasi TARURA wameshafanya interview na TANAPA pia washafanya
 
PCI wametangaza tena hizo nafasi TARURA wameshafanya interview na TANAPA pia washafanya
TANAPA ulifanya peke yako dada yangu ukweli ni kwamba TANAPA hawajafanya na hawajulikani wataita Lini labda umewafananisha na NGORONGORO.
 
Ifike mahali watangaza nafasi za kazi wajibu waombaji hata kama hawajaqualify na waseme mwombaji amekosea wapi. Unasubiri hakuna jibu siku zinapita unasikia wenzako wenye sifa kama wewe walishaitwa. Nasema bora Sekretariat ya ajira wanajibu wote waliofanikiwa na wasiofanikiwa.
 
nilipooa kwenye heading umeadika wameita waombaji nikaja mbio nikifikiri wameita wanamaombi kumbe ni walio apply
 
Back
Top Bottom