Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,651
- 10,974
Una haki ya kuwapongeza. Mimi siwapongezi.Waliofany hao jamaa siyo jepesi kama unavyofikiria, hizo ni fikra potofu, wapongezwe.
Amandla...
Una haki ya kuwapongeza. Mimi siwapongezi.Waliofany hao jamaa siyo jepesi kama unavyofikiria, hizo ni fikra potofu, wapongezwe.
Sawa ila mnaenda kuweka mikono mifukoni kwenye ikulu za watu wakati wao wamesimama kwa adabu zote! Kuh!Inawezekama kabisa ikawa coincidence lakini angalau wazo langu lilikuwa linashabihiana na Likolola na Liberatis Mwangombe.
Leo wamekutana naye Ted Cruz.
It was an honor to meet with Senator @tedcruz alongside members of the Tanzanian community in Texas. During our brief meeting, we thanked and expressed our appreciation to Senator Cruz for standing up for and championing religious freedom and human rights for all Tanzanians. Religious freedom knows no borders.
We also commended him for the bipartisan bill in the Senate aimed at holding the samia suluhu hassan regime accountable for its human rights abuses and atrocities.
View attachment 3600649View attachment 3600650
View attachment 3600651View attachment 3600652
Haaaa, mbona hii reaction haina uwiano na hilo lililoandikwa? Hayo maneno unamwambia mtu ambaye unamchukia. Anyway, labda kwa sababu ya hii ya Detroit!!Mwakilishi wa jimbo langu ni Michigan? TF is that?
Wewe ni mjinga na kwa bahati mbaya hujui kuwa u mjinga!
Mimi huko Michigan sijawahi hata kufika lakini naona umejiaminisha kuwa mimi naishi huko!
Neurotic imbecile.
hali ikoje hapo "Sauzi"Nilitakiwa kuwepo ila Ratiba zimeingiliana, niko Johannesburg kulinda Mali zangu dhidi ya Wazawa
Siyo nzurihali ikoje hapo "Sauzi"
Bado unanifuatilia! You just can't help yourself.
Mimi nimesema tu kuwa hamna kilichotokea baada ya photo op na Warnock. Kama kuna kitu kilichotokea niambie!
It is disingenious kutegemea Christian Nationalist kama Cruz kufanya lolote la maana. Au kuwa mtu aliyesema wazi kuwa nchi zetu ni shithole countries ata lift a finger kutusaidia. Nothing will come out of these photo ops na we should know better.
Ni yale yale ya kumleta mtu kama Rio na kutuambia atakuwa effective balozi. Na kama kawaida watanzania wanaamini itakuwa hivyo.
Tunapenda mno majibu mepesi kwa maswali magumu. In my opinion wazalendo hasa ni wale viongozi wa grassroots ambao wanaenda nyumba kwa nyumba kuwahimiza wananchi waungane nao katika kudai haki. Wanafanya hivyo wakati wakijua possibility ya jambo baya kuwatokea ipo sana. Hao nawapigia salute.
Amandla....
Ni watu kama nyie ambao mnaamini kuwa serikali ya Marekani itawa sanction viongozi wa CCM. Hamjui kuwa yote haya ni performative. Ndio maana wana sanction watu kama Makonda na Mafwele ambao sidhani kama kuzuiwa kwao kuingia Marekani kuna impact yeyote.Kwako wewe fundi Mchundo uchwara unaetegemea vibarua kuendesha vya hapa na pale ni sahii kusema hakuna kitakachotokea
Ila kwa watawala na viongozi wa CCM waliowekeza pesa na mali huko nje wanajua kitakachotokea na kinachoendelea
Tunachanga sisi WATANGANYIKA wenye akiliHao wahuni Wana hela za kufanya lobbying?
HahahaTunachanga sisi WATANGANYIKA wenye akili
Sijui kama Una elewa sababu ya kukimbilia MoscowNi watu kama nyie ambao mnaamini kuwa serikali ya Marekani itawa sanction viongozi wa CCM. Hamjui kuwa yote haya ni performative. Ndio maana wana sanction watu kama Makonda na Mafwele ambao sidhani kama kuzuiwa kwao kuingia Marekani kuna impact yeyote.
Hawa wazalendo ambao naamini wameishi Marekani kwa miaka mingi walitakiwa kujua kuwa kama unataka Trump akusikie, nenda Fox News. Walitakiwa kujua kuwa (kama wako serious kweli) wakati wa huu wa uchaguzi ni kwenda kwenye town hall meetings za wanaogombea na kuhakikisha kuwa ishu yao inakuwa sehemu ya ajenda ya wagombea. Walipaswa kujua kuwa bila kuwa na allies katika the political space ishu yao haitafika popote wakati Marekani inakabiliwa na ishu za Iran, Gaza, kupanda kwa gharama za maisha n.k. Hawa jamaa tungewaona kwenye platforms za wakina Joy Reid, Roland Martin n.k. Watu kama Cruz na Trump wako more interested na makaburu wa Afrika Kusini kuliko watanzania.
Baada ya kusema haya, huyu Fundi Mchundo Uchwara anakuingiza kwenye ignore list yake kwa sababu hahitaji kusoma unacho andika.
Amandla...
Jamaa ni limbumbumbu kweliSijui kama Una elewa sababu ya kukimbilia Moscow
Ameenda kutafuta hifadhi? Ndivyo unavyo amini?Sijui kama Una elewa sababu ya kukimbilia Moscow
Nani kasema?Ameenda kutafuta hifadhi? Ndivyo unavyo amini?
Amandla...
Ku ma LA mamakoVibaraka mnahangaika sanaa
Masikini!!!Inawezekama kabisa ikawa coincidence lakini angalau wazo langu lilikuwa linashabihiana na Likolola na Liberatis Mwangombe.
Leo wamekutana naye Ted Cruz.
It was an honor to meet with Senator @tedcruz alongside members of the Tanzanian community in Texas. During our brief meeting, we thanked and expressed our appreciation to Senator Cruz for standing up for and championing religious freedom and human rights for all Tanzanians. Religious freedom knows no borders.
We also commended him for the bipartisan bill in the Senate aimed at holding the samia suluhu hassan regime accountable for its human rights abuses and atrocities.
View attachment 3600649View attachment 3600650
View attachment 3600651View attachment 3600652
Ila wewe mwafrika ulaaniwe!Mungu wabariki Wazungu
Hakuna asiyehitaji hela. Inategemea tu kiasi na status ya mtuSidhani kama Ted Cruz anahitaji visenti! Au sijakuelewa nani wanahitaji hela!?