Kukutana na Ted Cruz maana yake Ujumbe umefika moja kwa moja Kwa Trump na CIAMiiiiibaaaaaaa tuuuu
Hapo walienda jikoni kbsKukutana na Ted Cruz maana yake Ujumbe umefika moja kwa moja Kwa Trump na CIA
Wakija atawateka basha wako Abdul ?Kwahiyo hawa ndio wamejibania kabisa kurudi kutembelea ndugu na jamaa....
Shoga unawashwawashwa kukunwa?Wakija atawateka basha wako Abdul ?
Ni kwa vile tu huna kumbukumbu.Inawezekama kabisa ikawa coincidence lakini angalau wazo langu lilikuwa linashabihiana na Likolola na Liberatis Mwangombe.
Wewe unataka kitokee leo leo?Na hamna kilichotokea.
Amandla...
Kimenishtua pale waliposema ubaguzi wa kidini. Inamaana hivi sasa wakiristo ndio wanaolalamika kwamba kuna ubaguzi wa kidini? Wanabaguliwa na waislam ambao tunaambiwa wamekumbatia madrasa? Hii sawa na marekani na Iran kwa sasaVijana wa Lumumba wakiona hii picha wanapata uharo
Jamaa yuko negative sana.Wewe unataka kitokee leo leo?
Wakati mwingine jaribu kuwa na kipimo cha kughaili.
Yaani hadi sasa unabeza juhudi za hawa wazalendo; kwa vile tu hazimhusu Mbowe
Ndiyo, nimetaja tu kwa maksudi hilo jina.?
Tukutegemee wewe chawa kwa jambo gani?Vibaraka mnahangaika sanaa
Jamaa aiseeHapo walienda jikoni kbs
We jamaa mwingo, hapo tukuyu Mbeya ndio Marekani?Nilitakiwa kuwepo ila Ratiba zimeingiliana, niko Johannesburg kulinda Mali zangu dhidi ya Wazawa
Natamani wachukue maamuzi mapema kabla mwaka kuisha huu.Jamaa aisee