Nilioa mtoto wa waziri mkuu kutokana na mpira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilioa mtoto wa waziri mkuu kutokana na mpira

Discussion in 'Entertainment' started by major mkandala, Mar 24, 2010.

 1. m

  major mkandala Member

  #1
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aliekuwa mchezaji wa simba Abadallah kibaden king ameweka wazi kwenye moja ya gazeti la toleo la leo la mchezo kwamba alipata mke kutkana na mpira,...
  akiongea na mwandishi wa habari kibaden anasema walifanikiwa kuifunga timu
  ya YANGA magoli 6-0 kipindi akiwa simba baada ya mechi alikutana na mtoto wa aliekuwa waziri mkuu kipindi hicho mh Marehemu RASHID MFAUME KAWAWA mwanae alikuwa mpenzi sana wa mpira na toka tulipoifunga akawa rafiki yangu sana wa kawaida ikiwa simba inacheza alikuwa akinipigia tunakwenda wote anahudhuria mechi...mwisho akaoniweka wazi unajua king nakupenda sana jinsi unavtocheza na mi ni mpenzi mkubwa wa simba kama babangu,..toka hapo tukawa marafiki wa kweli nampaka leo ni mmoja wa wakeZangu tunaendelea kula raha.......king ambae amesema ana nyumba kama tatu hapa dar na gari moja mkoko GX 100 alifurahsha sana....akuishia hapo na kusema ameamua kuomba kugombea kufundisha timu ya taifa...ingawa anasema yeye yuko radhi hata akiwa kama kocha msaidizi lengo lake awe kwenye timu ya taifa...

  hongera kibaden nafikiri tenga amesikia
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wazinzi wanapenda kujifagilia sana....
  Acha zinaa mkuu...
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,414
  Likes Received: 5,684
  Trophy Points: 280
  Huyu anajisifia wake wengi si kumzalilisha
  x-waziri mkuu wetu kawawa??
   
 4. N

  Ngala Senior Member

  #4
  Mar 24, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Alipokuwa mchezaji tu akapata wake je akiwa kocha tena wa taifa stars itakuwaje
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhh huyo binti ni mke namba ngapi salaleh!
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,414
  Likes Received: 5,684
  Trophy Points: 280
  mmh akipata ukocha wa taifa nadhan
  Twiga Stars watamtambua vilivyo!!!
   
Loading...